Wachuna Ngozi Waibuka Upya Iringa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
This is developing story:

602546_560419367316782_769030921_n.jpg


TUKIO la kusikitisha limetokea hivi karibuni katika Kijiji cha Wenda, Kitongoji cha Lupeta, mkoani Iringa kwani umekutwa mwili wa mwanakijiji aliyetambulika kwa jina la Leonard Kutika (49) ukiwa umechunwa ngozi, hivyo kuvuta hisia kuwa wachuna ngozi wameibuka…
 
Hivi watu wote wa Iringa wa wana umasikini wa akili kiasi hiki. Au? Maana jamii yoyote inajua wahalifu wake. Inapo amua kuwadhibiti ni sekunde tu.
 
hivi kumbe mambo yetu yale bado yapo?? kuna kipindi mbeya ilitikisa sana hii kitu. sasa naona imehamia mkoa wa jirani. umasikini wa akili ni mbaya sana
 
this is developing story:

602546_560419367316782_769030921_n.jpg


tukio la kusikitisha limetokea hivi karibuni katika kijiji cha wenda, kitongoji cha lupeta, mkoani iringa kwani umekutwa mwili wa mwanakijiji aliyetambulika kwa jina la leonard kutika (49) ukiwa umechunwa ngozi, hivyo kuvuta hisia kuwa wachuna ngozi wameibuka…


unaweza kutusaidia na picha??
Hatari sana maisha haya
 
Back
Top Bottom