Wachumi wa Tanzania mpo wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachumi wa Tanzania mpo wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlangaja, Jan 26, 2011.

 1. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Ni jambo la kushangaza na kusikitisha, katika soko la kubadilishana fedha shilingi ya Tanzania imeshuka thamani mno. Leo dola 1 inabadilishwa kwa shilingi 1508 za Tanzania. Watu wamekaa kujadili upupu wa kuilipa Dowans badala ya kujadili ni namna gani tutaendeleza nchi. Hivi kweli viongozi wetu hawana akili hata kidogo namna hii?
  Naomba Mungu awasaidie, maana kwa hali hii si mda mrefu Mungu atawapatiliza mbali.:nono:
   
 2. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Yani wanasema tz ni kichwa cha mwendawazimu! Nafikiri viongozi wetu ndo wana vichwa vya wendawazimu, lakini sasa na kama tunajua ni wendawazimu na sisi bado tunawachagua, kwa hiyo na sisi wote ni mmmmmm? Hapana! wao ndio wameanzisha haka ka mfumo kachafu cha kujaza matumbo yao bila kujali maslahi ya waliowachagua! Nshukuru sana kwa hoja hii
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Kule Kenya wao hawana hili tatizo

  wao wanaendeleza nji yao tuuu

  sie tumeachiwa soga
  [​IMG] [​IMG]
   
 4. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  rais wako mwanauchumi..unataka mwingine nani.....kenya sio tanganyika.....hawalei upumbavu.
   
 5. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Pinda alikataa kununua magari ya kifahari kwa ajili ya mawaziri na badala yeka aliishauri serikali itumie magari yaliyotumiwa na mawaziri waliopita kwani bado magari haya ni imara na hayana hitilafu yoyote. Kinyume chake serikali imekataa ushauri wa waziri mkuu na wamenunua magari ya kifahari. Kwa uwezo wangu mdogo wa uchumi naamini hii tu kwa nchi yenye uchumi mchanga kama hii inaweza kupelekea purchasing power ya hela yake kushuka. Hivi jamani, kama tunaserikali butu namna hii je kuna haja ya kuwa nayo. Hawana cha kuwasaidia wananchi kazi kuanzisha miradi ya kula hela tu.
  Kwa mfano Dodoma wamefanya matengenezo ya uwanja kwa gharama kubwa sana, wakati huo huo wameanza kutengeneza kiwanja kikuu cha Msalato, sasa mimi najiuliza haka kauwanja ka kutua nzi katarudishaje mamilioni ya fedha walizotumia? Je hawana akili ya kujua mradi gani unasaidia taifa na mradi gani unaua uchumi wa nchi? Kweli nchi imekosa viongozi na watenda kazi, na badala yake imepata wapumbavu na wala nchi.
   
 6. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wachumi wa tanzania si ndo hao wanachumia kwa tumbo?ua unaulizia wachumi gani tena?
   
 7. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  An Economist with BA in political economy awarded a degree with 2.1 GPA. Kina Lipumba tutawaitaje?
   
 8. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  I like this one
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Acha tu tuendelee kuuumia tukisema tunaambiwa hatuna akili basi waendelee kuwa madarakani muone kama kuna step yoyote ya kimaendeleo tutakayopiga!
   
 10. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  genekai umenena vyema. Ili Watanzania tuamke nadhani ni wakati sasa tuombe hali iwe ngumu zaidi mara elfu ili tuamke. Viongozi wanajua hatutawafanya chochote na kwa sababu ya mateso siku moja labda tunaweza kutambua umuhimu wa kuwaadabisha viongozi wetu.
  Ila angalisho kwa viongozi ni kwamba siku tukiingia msituni hatutarejea tena kuishi kwa amani walioizoea.:A S-fire1: Pia wakumbuke kwamba watakaopata shida ni watoto wao, ndugu zao na marafiki zao wa karibu.
   
 11. M

  Manyamamatoke New Member

  #11
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
Loading...