wachumi nisaidieni kwa hili

Nov 24, 2010
54
3
jamani natafuta mahali ambapo nitakuwa nasoma tafiti na mambo ya uchumi ni wapi?nataka kuwa compitent katika uchumi.nimeambiwa niende ESRF yaani Economic and social research foundation ss sijui ipo wapi hii.na kama kuna jukwaa lolote la uchumi tofauti na la JF ningependa kujulishwa.
asanteni
 
Swali lko liko too general kupata jibu specif linaweza kuwa na

  • Kupitia internet na google unaweza kusoma tafiti mbali
  • Hujasema uchumi wa nchi gani specific. Uchumi wa Dunia? Ucumi wa Tanzania?, etc
Ingawa sio mchumi huwa napenda sana kuelimika na mambo ya uchumi .Ingawa hapa JF wtu wengi tunapenda siasa We anzisha mjadala labda watatoka wataalamu washushe nondo
 
Mi pia napenda kusoma mambo ya kiuchumi ila
Jaribu kutafuta kitabu cha "The confension of Economic Hitman"
 
ESRF ipo baada ya Victoria (kulia kama unaenda k'koo au posta),kuna njia ya vumbi ambapo kuna sehemu wanauza magari ya mtumba. Ukienda na icho kinjia,then kata kushoto,nenda mbele kidogo utapaona. Pia unaweza kwenda REPOA,napo wana vitabu na majarida ya tafiti za uchumi. Kwa ufasaha zaidi nenda idara ya uchumi (iliyokua Economic Research Bureau,sasa imo kwny idara iyo),UDSM,hapo utakua umefika nyumbani
 
nashukuru sana sana mchumi hope ntafanikiwa
 
wachumi nashukuru kwa ushauri wenu tena nimevutiwa na hoja ya kuwa tunapost topic za uchumi nafikiri its a good idea.kichumi zaidi
 
Muandikie Lipumba atakusaidia kwa sana sana tu, yeye ni mchumi kimataifa.
 
lete topic tutakusaidia ila soma sana kupitia internet (google), hakuna utakachokikosa
 
Kuna gazeti la the economists, financial times na general business news kutoka vyombo vya habari. Ukisoma theories zake huko utapata practice zake zinavyokwenda. I hope utaenjoy.
 
Back
Top Bottom