Wachumi Mtusaidie ni Kwa nini Biashara Nchini imedorora kama sio kupumulia mashine.Miaka hii ya kuanzia 2016

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,031
Wakuu.
Naomba wataalamu Wa uchumi mtusaidie ni sababu ipi iliyopelekea biashara nchini kudoroara na hili lipo wazi kwani hata IMF wamesema uchumi wetu sasa umeshuka kasi ya ukuaji.
Najaribu kuwaza miaka ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete biashara ilishamiri sana na kasi ya ukuaje wa uchumi ikapaa sana.
Nini kimetokea na sababu ni nini?
 
Mwanajamvi Asante sana kwa kutuomba msaada wa ushauri kutoka kwetu wataalam wa uchumi.

Nina PhD ya uchumi. High school siksi nilipiga Ilboru. Degree ya kwanza mlimani. Vyuo vingine nimesomea ni Luton, Cambridge na Oxford kwa Malikia. Pia Stanford Yale, Havadi na MIT kwa trump huko.

Na kuhakikishia umefika sehemu sahihi utapata msaada mzuri wa uchumi. Kuna kitabu nakiandika title yake The reason why Jiwe fucked up Tanzania Economy Deliberately and arrogantly karibuni kitaangia sokoni3
 
...................Bro kwani we Muhaya?hiyo paragraph ya pili sidhani kama ilikuwa inahitajika kwenye bandiko lako uliloweka hapa!

So hata kwa uchache,unahisi ninini kimechangia hali hii.jibu utakalotoa hapa ndo litakaloakisi ubora wa kitabu chako ulichosema unakiandaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu.
Naomba wataalamu Wa uchumi mtusaidie ni sababu ipi iliyopelekea biashara nchini kudoroara na hili lipo wazi kwani hata IMF wamesema uchumi wetu sasa umeshuka kasi ya ukuaji.
Najaribu kuwaza miaka ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete biashara ilishamiri sana na kasi ya ukuaje wa uchumi ikapaa sana.
Nini kimetokea na sababu ni nini?
Miaka ya karibuni tumekuwa tukiwapa mbwa chakula cha watoto. Hili ni kosa kubwa mno labda kama unathamini mbwa wako kuliko watoto wako. Nchi maskini kama Tz tumeacha vipaumbele vya kujenga uchumi na kwenda kuiga mataifa makubwa namna wanavyofanya kutokana na kuwa na uchumi mkubwa.

Kukopa sio kosa au umaskini kwani hata USA wanakopa matrilioni benki ya dunia, China n.k. Tumekwenda kununua ndege za mabilioni kwa cash money, ambapo hata mashirika makubwa kama KLM na Lufthansa hukopa na kulipa polepole.

Tumeweka matrilioni mengi kwenye miundombinu kama vile bomba la mafuta na reli bila ya kushirikisha private sector, hata Marekani na pesa zao, miradi mikubwa kama hii inakuwa ni public-private-partinership yaani PPP.

Tumejifanya matajiri wa cash wakati hatuna kitu. Mkuu amejifungia ndani hajawahi fika mbali zaidi ya Ethiopia. Hata akina Trump, Angela Merkle, Ji Ching, Putin na wengine hutembelea mataifa mengine kuzungumzia uchumi na uwekezaji. Mkuu wetu anafikiri ataweza mwenyewe. Kikwete alitafuta wawekezaji wengi sana na alijua huwezi kulisha mbwa chakula cha watoto.
 
Umeliongelea kwa umakini na ufasaha wa hali ya juu....
 
Pia taxes, au kodi zimeongezeka maradufu yaani direct taxes, achilia uwepo pia wa indirect tax ambayo ipo na inapandisha bidhaa juu.
Kodi ya mapato serikalini ikiongezeka na bei ya bidhaa iko pale pale uchumi lazima ushuke, na wanachofanya ni kudumaza biashara au kufanya biashara kwa watao pata faida iwe ngumu. Kivyovyote wanaofanya biashara awamu hii wengi wanaangukia kwenye hasara na faida mara chache kwa sababu ya kodi kubwa lakini price au bei ya bidhaa na huduma iko pale pale.

Nadharia ya hii iko hivi faida yake ni kupandisha thamani ya shilingi lakini kwa mpaka sasa hatujaona shilingi ikiikaribia dola au ikiwa close to the Dollar 💲💲 badala yake iko stable.
hivyo hali ya biashara kuwa ngumu na maisha ya wasio na ajira kuwa magumu zaidi, kiufupi wenye ajira kwa awamu hii ndiyo wanaishi vizuri japo najua watabisha.

Niseme kuwa hata wenye ajira na walio na kipato cha kufanya manunuzi kwa bidhaa na huduma wakifanya manunuzi makubwa kwenye biashara ya muuzaji bado muuzaji hawezi pata faida ya kukuza biashara au anaweza pata either 0 zero profit or loss kabisa kwa sababu kodi kubwa imecover au kula faida au profit margin ya biashara yake na wakati huo huo bei ya bidhaa iko pale pale tangu Kodi haijapandishwa hadi Leo bei ya bidhaa ni ile ile.

Serikali inakosea kusema wanataka uchumi upande kwa kukuza shilingi huku wanapandisha kodi na Bei ya bidhaa ni ile ile.
Uchumi upande kwa kushusha Bei ya bidhaa na kuweka Kodi ndogo hapo shilingi itaikaribia dollar, Sasa serikali ya jiwe inategemea eti mapato ya TRA kama ndiyo yafanye kila kitu na ndege wamenunua showoff za kihaya tu, hivi nani alimdanganya kuwa serikali ya Tanzania inajengwa na kodi tu pekee...
VAT INAUMIZA SANA 18 PERCENT. vitambulisho vya mjasiri amali ni kama Kodi ya kichwa tu.

Wachumi wamerelax wanapokea mshahara, walio ajiriwa hawana hasara sema mbeleni biashara zitakufa kwa kupungua afu lazima jamaa atapanic.
sasa majuto ya kununua ndege and all that yatakuwa ni mjukuu yaani wenye kujua uchumi hawawezi shabikia ndege imenunuliwa.
 
Tatizo hapa ni sera na mambo yakiuchumi mkuu,
Mzunguko wa shilingi nchini umekua mdogo sana kwani serikali inakusanya kodi pasipo kutengeneza mazingira mazuri kwa hao wanaokusanywa kodi,Mfano mmachinga kariakoo anapewa kitambulisho cha ujasiriamali asilipe kodi kisha anaweka bidhaa mbele ya mwenye duka ambaye anabanwa kodi wakati wote ie mwenye duka na machinga wamechukua bidhaa kwenye godown la muhindi kwa bei moja hapa lazima mwenye duka bei ya bidhaa yake itakiwa juu kutokana na kodi.
Serikali imehamisha pesa zote mpaka za mashirika ya uma kwenye mfuko mmoja hazina kisha kuwagawia kwa namna ambayo yenyewe inaona inafaa hapa wanakausha pesa mtaani pasipo hesabu.
Ujenzi mwingi mkubwa unaoendelea sasa kama ujenzi wa umeme stiglers,ununuzi wa ndege nk ambao tunajisifia kujenga kwa pesa zetu nao ni tatizo lingine kwani contractor ni kutoka nje hivyo pesa tunazowalipa zitaenda kuwekeza kwao,vipuri na mahitaji mengi yanayohitajika kwenye ujenzi vyote vinatoka nje hivyo miradi hii kwa TZ kinachopatikana ni pesa kwa waajiriwa pekee.
Ubanaji matumizi serikalini uliopitiliza nao umepelekea kupunguza mzunguko wa shilingi mtaani.Mfano Hotel nyingi zimeyumba na nyingine kufungwa(eg Ngurdoto Arusha) kwani zilitegemea sana mikutano na walsha serikalini ambazo sasa hakuna.
Kwakufanya hizi wamepunguza sana mzunguko wa shilingi kwenye nchini na kusababisha Hali hii tunayoiona sasa.
 
Nchi inategemea bidhaa kutoka nje wameweka limit ya kusafiri na USD mwisho 10,000 zikizidi unazitolea maelezo hata ukijaza form zao na muda mwingine unaweza kupata kesi ya uhujumu uchumi kwa hela zako chache wakati kujaza Kontena sidhani kama hizo chenji zitajaza na ukija na mzigo TRA wanakuuliza hela ulizonunulia hizi umepata wapi na umezitoaje nje sio swala la kulipia mzigo utoke wanatamani kupora Mali uchumi itakuaje kwa mazingira haya...
 
Mwanajamvi Asante sana kwa kutuomba msaada wa ushauri kutoka kwetu wataalam wa uchumi.

Nina PhD ya uchumi. High school siksi nilipiga Ilboru. Degree ya kwanza mlimani. Vyuo vingine nimesomea ni Luton, Cambridge na Oxford kwa Malikia. Pia Stanford Yale, Havadi na MIT kwa trump huko.

Na kuhakikishia umefika sehemu sahihi utapata msaada mzuri wa uchumi. Kuna kitabu nakiandika title yake The reason why Jiwe fucked up Tanzania Economy Deliberately and arrogantly karibuni kitaangia sokoni3
ila we mtu kama sio MHAYA utakua kabila gani sijui...mi najua baada ya maneno yote unakuja na JIBU ila wahaya nyie sijui mlipewagwa nini.
 
Kuna vitu viwili tu ndo huzalisha hali yote hii kwenye uchumi. Fiscal policy and monetary policy.
Ambapo vitu kama taxes, investment, govment spending, demand and supply of money, import over export, exchange rates, interest rate etc vyote hivi ni moja ya sabab hali kuwa hivi ilivyo sasa.

Taxes-tumeona jinsi kodi inavyokusanywa kwa sasa na burden kubwa iliyopo ni lazima idisturb biashara.

Investment-uwekezaji mwingi unaofanywa hiv sas ni kweny sekta ya ujenzi na sio kwenye miradi itakayoleta mzunguko mkubwa wa kifedha kama vile kilimo

Govmnt spending-katika nchi yoyot ile mtumiaji mkubwa ni serikali hivyo inabidi matumizi yake yaelekee kweny sekta zinazogusa wananchi moja kwa moja hiyo haitaathiri mzzunguko kweny sekta ya biashara.

Demand and supply of money- tunaona serikaali imetengeneza uhitaji mkuubwa saan wa pesa, so consumers rely only in preference hivyo kusababish bidhaa nyingine zisiwe na faida sokoni.

Nimejitahid kueleza kwa uchache tu but serikali inabid ifanye restructuring kweny some areas ili kuweka saw mzunguko..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu.
Naomba wataalamu Wa uchumi mtusaidie ni sababu ipi iliyopelekea biashara nchini kudoroara na hili lipo wazi kwani hata IMF wamesema uchumi wetu sasa umeshuka kasi ya ukuaji.
Najaribu kuwaza miaka ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete biashara ilishamiri sana na kasi ya ukuaje wa uchumi ikapaa sana.
Nini kimetokea na sababu ni nini?
Tatizo tulikua na artificial economy inayoendeshwa na purchasing power artificial, mtu anauza unga anahonga magari au anapangishia vimada wengi nyumba hivyo kuonekana soko la kupangisha nyumba au showroom za magari lipo juu, nk na kadhalika. Hii imekuwepo kwa miaka 30 hivyo kuamini ni mfumo sahihi. Ndio maana ilifika mahali barabara mbovu mpaka katikati ya mji kama posta na Kariakoo. Na watanzania wengi tunasahau unapojenga hata nyumba ya familia yako watoto lazima wakose baadhi ya walioyazoea kwa faida ya baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu viwili tu ndo huzalisha hali yote hii kwenye uchumi. Fiscal policy and monetary policy.
Ambapo vitu kama taxes, investment, govment spending, demand and supply of money, import over export, exchange rates, interest rate etc vyote hivi ni moja ya sabab hali kuwa hivi ilivyo sasa.

Taxes-tumeona jinsi kodi inavyokusanywa kwa sasa na burden kubwa iliyopo ni lazima idisturb biashara.

Investment-uwekezaji mwingi unaofanywa hiv sas ni kweny sekta ya ujenzi na sio kwenye miradi itakayoleta mzunguko mkubwa wa kifedha kama vile kilimo

Govmnt spending-katika nchi yoyot ile mtumiaji mkubwa ni serikali hivyo inabidi matumizi yake yaelekee kweny sekta zinazogusa wananchi moja kwa moja hiyo haitaathiri mzzunguko kweny sekta ya biashara.

Demand and supply of money- tunaona serikaali imetengeneza uhitaji mkuubwa saan wa pesa, so consumers rely only in preference hivyo kusababish bidhaa nyingine zisiwe na faida sokoni.

Nimejitahid kueleza kwa uchache tu but serikali inabid ifanye restructuring kweny some areas ili kuweka saw mzunguko..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano unawekeza ktk kilimo na kidogo katika miundombinu si mazao yatakuja sokoni kwa bei juu hivyo kuleta inflation?

Kwa nature ya nchi yetu tunahitaj zaid kilimo cha kisasa, miundombin ipo ila sio toshelevu but kilimo kina hali tata saana. Na kuhusu inflation price index kwa sasa ni supportive saana hasa kwa bidhaa za kilimo. The govt should play hard kweny ruzuk tu

Kilimo kinachotakiwa sio small scale nimeona kwa macho nchi za wenzetu na uwajibikaji sekta ya umma ni problem hasa watunga sera, kuna investor muasia kutoka Uganda nilibahatika kukutana nae ana miaka 4 anazungushwa kupata ardhi alime miwa na kuweka kiwanda cha sukari, worse still kule Uganda ndio mzalishaji mkubwa wa Sukari. Kumsaidia nikafoward proposal yake kwa TIC Director ananijibu mwambie anitafute mwisho wa mwezi badala ya yeye kumpigia imediately na kumfuata alipo, kumbuka hata Mtwara mh. Rais alikutana kituko hicho hicho kiwanda cha korosho, investor analaImishwa kununua transformer ili auziwe umeme, maji the same mpaka Rais aingilie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni combination ya mambo mengi tu, all of which are f*cked up! The top.of all ni roho mbaya ya kubwa la mashetani!
 
Tatizo ni chadema na Tundu Lissu kulaumu uwekezaji kutoka nje hasa kwenye migodi kuwa ni miradi ya kinyonyaji nasie kwa upumbavu wetu tukawaunga mkono.

Lissu akiwa na Dr.Nshala mjinga mwenzie, walizunguka kwenye matv wakisema wanaushahidi wa video wa mauaji ya bulyanhulu

Lissu huyuhuyu alimtukana askofu kilaini kuwa alihongwa na kaka ruge. Chadema na Zitto wao walizunguka nchi nzima wakimtukana yule waziri kuwa alisign mkataba wa buzwagi akiwa bar London, anatembea na mihuri mfukoni.

Tukasahau kuwa hizi DFI ndio zinazo chachusha uchumi na kuufanya uumuke kirahisi,
 
Naunga mkono hoja

Back
Top Bottom