Wachumba JF

kinyoba

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
1,267
718
habari zenu wana jamvi, hivi ni kweli JF kunapatikana wachumba wa kutosha? maana kila mara tunaona matangazo ya kutafuta wapenzi! japo wanapigwa majungu ya kutosha lakini nashangaa hawaachi!
 
hata mimi huwa sielewi,ila kwa ninahisi wapo watu wanaojuana,ila sina uhakika kama wapo wapenzi humu au ni marafiki wa kawaida tu.kwani hao watafutaji huwa hawatoi feed back yoyote
 
Habari zako bhana mleta uzi, bila shaka haina majotroo! Usidanganyike ndg,hapa ukitafuta mchumba imekula kwako maana identity za wengi hazi portray reallity,never try this at jf.
 
Nadhani kuna mafanikio watu wanayapata coz sitegemei mtu atakuja aseme nimeshapata mpenzi kupitia maombi aliyotuma! ila kujuana naamini kupo!
 
and thats what i believe! ninachojiuliza inakuwaje kila mara tunaona watu wanatafuta wapenzi? inawezekana huko vijiweni watu wanahabarishana kuwa humu JF wanapatikana! kwa mfano si unajua mara nyingi demu anaetongozwa sana pia huwa ni muachiaji mara nyingi? watu wanaweza kusema " yule demu hajui kukataa" sasa unategemea madomo zege watamuachia?
 
Of all Members.... More than 40,000 bado mnaamini kua hakuna walokutana hapa?? Uzuri ni kua wale walokutana hapa ni wale underground na mambo yao wanataka yawe hivo hivo underground... yaani sio lazima members wengine tujue... Kumbuka JF members ndo wanajamii hao hao...
 
Huku wachumba wapo kibaaao!! Ukitaka..jaribu kuPM ID' yoyote unayoiona ya kike!!
 
Of all Members.... More than 40,000 bado mnaamini kua hakuna walokutana hapa?? Uzuri ni kua wale walokutana hapa ni wale underground na mambo yao wanataka yawe hivo hivo underground... yaani sio lazima members wengine tujue... Kumbuka JF members ndo wanajamii hao hao...

umenena vema sana.....
 
habari zenu wana jamvi, hivi ni kweli JF kunapatikana wachumba wa kutosha? maana kila mara tunaona matangazo ya kutafuta wapenzi! japo wanapigwa majungu ya kutosha lakini nashangaa hawaachi!

Mi nadhani wapo wachumba humu ndani, sasa wakati wa kuoana mtujulishe basi kwa michango ili tufurahie pamoja si unajua ndoa ni tukio la kijamii.
Nikiwa natafuta mke wa pili nami nitarusha Tangazo ndani ya mmu
 
eee bwana kumbe kuna wa2 wanapata wachumba humu ndan.ngoja na mim nikajipange
 
Ni kweli kuna watu wanajuana before humu na wanakutana mara kwa mara kwa hiyo ni rahisi kupendana
 
Nadhani kuna mafanikio watu wanayapata coz sitegemei mtu atakuja aseme nimeshapata mpenzi kupitia maombi aliyotuma! ila kujuana naamini kupo!

Siyo kweli wengine waliambiwa kuna majini basi wakaacha kabisa hizi mada maana waliogopa kukutana na majini mazee> Jini noma bana so hakuna mafanikio yoyote ndiyo maana mtu anakaa kimyaaa
 
Back
Top Bottom