hata mimi huwa sielewi,ila kwa ninahisi wapo watu wanaojuana,ila sina uhakika kama wapo wapenzi humu au ni marafiki wa kawaida tu.kwani hao watafutaji huwa hawatoi feed back yoyote
Habari zako bhana mleta uzi, bila shaka haina majotroo! Usidanganyike ndg,hapa ukitafuta mchumba imekula kwako maana identity za wengi hazi portray reallity,never try this at jf.
Of all Members.... More than 40,000 bado mnaamini kua hakuna walokutana hapa?? Uzuri ni kua wale walokutana hapa ni wale underground na mambo yao wanataka yawe hivo hivo underground... yaani sio lazima members wengine tujue... Kumbuka JF members ndo wanajamii hao hao...
habari zenu wana jamvi, hivi ni kweli JF kunapatikana wachumba wa kutosha? maana kila mara tunaona matangazo ya kutafuta wapenzi! japo wanapigwa majungu ya kutosha lakini nashangaa hawaachi!
Nadhani kuna mafanikio watu wanayapata coz sitegemei mtu atakuja aseme nimeshapata mpenzi kupitia maombi aliyotuma! ila kujuana naamini kupo!
mkuu ID nyingine sio ka unavofikiria wengine ni magumegume humuHuku wachumba wapo kibaaao!! Ukitaka..jaribu kuPM ID' yoyote unayoiona ya kike!!