Wachora katuni hamuendi mbinguni

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,528
Dah nyi jamaa wa makatuni mbinguni mtapasikia tu...
20200720_121215.jpg
 
Hao jamaa hua ni noma sana,ile siku pale ikulu Mayalla anaambiwa maana yake ni njaa,mzee baba alisema hua anachorwa kikatuni mpk anaenda kujiangalia kwny kioo kama kweli kichwa chake kimekaa vile wanavyomchora,akasema baadae hua nasema tu hiiiiiiiiiiiiiiii ndio uhuru wa uchoraji huo.
 
Hiyo katuni imebeba ujumbe mzito sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom