Wachina watatuua sana na vitu vyao fake

Mkata Mtaa

Senior Member
Jun 10, 2016
136
142
Hawa watu ni hatari sana, wanapopata upenyo na wakaona kuna demand kubwa wanafanya watakavyo, hawa watu huwa hawana hofu wala uwoga,
kitu kinachowafanya kutokuwa na hofu ni wala kuona dhambi ni asilimia kubwa kutokuwa na dini, huwa wanaheshima serikali kama ina sheria kali sana,kama sheria sio kali na vyombo au idara za serikali sio imara wanafanya chochote ili mradi wapate pesa tu.Hata ukiangalia kwa sasa Tanzania wageni wanaofanya uharifu kuliko wageni wa mataifa.
 
Kama cjakusoma tofauti, ni kwamba China inacheza na soko la aina zote na bidhaa zao znaendana na uwezo wa Wateja wa soko husika kwa mfano akitengeneza simu kupeleka England inakuwa imara na bei kubwa ni tofauti na utakayoletewa Tz.
 
Wabunifu jamaa
Wako fair kila mtu apate hata kama chepe alolo
 

Attachments

  • 1467226011922.jpg
    1467226011922.jpg
    22.1 KB · Views: 45
sidhani kama hua wanawashika watu mashati kuwalazimisha wanunue.... mwisho wa siku nao ni wafanyabiashara kama alivyo mjapani.
 
Back
Top Bottom