Kanguyeyejr
Senior Member
- Jan 27, 2018
- 105
- 91
Amani iwe nanyi, nawaomba TRA wawamulike wachina kwani wamekuwa wakiibia serikali mchana kweupe. Wachina hawa hupità mitaani na kufunga machine za kamari kwenye mabaa na hata frem za kawaida na kisha kuja kukusanya pesa zinazopatikana.
Wachina hawa hawalipi kodi na sidhani km wanavibali vya kuishi nchini. Ikumbukwe mh rais magufuli alikatanza kamari aina zote kuchezwa mitaani hasa muda wa kazi. Ikumbukwe pia pool table zilikatazwa kuchezwa asubuhi lakini machine hizi za kamari zinafanya kazi muda wote kuanzia asubuhi mpaka ucku.
Inakera kuona wachina hawa wamegeuza nchi hii haina mwenyewe(shamba la bibi) na wapo juu ya sheria na hawalipi kodi wanaishi kiujanjaujanja na kutudharau. Naomba uhamiaji na tra wafatilie wachina hawa ambao wanasambaa kwa kasi kubwa huku wakiwapachika mimba Dada zetu.