Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 4,325
- 6,652
Wiki la jana,maeneo ya Sinza kuna jamaa walikuwa na note fake za elfu 10 kiasi, na inaonekana ni ngumu kuwa detected kama fake, so zipo katika mzunguko.Wachina kama hawa waliokamatwa Airport na kufikishwa mahakama ya Kisutu jana.
Wanasafirisha pesa na kwenda China kuzidublicate na kuziingiza tena nchini kwa njia ya panya na kuziingiza katika mzunguko.So kama hawa wachina waliokamatwa na 30 Millions.
Iwapo wangefika nazo salama China,baada ya Miezi miwili tungekuwa na Dublicates za 500 Notes (za million 30) lets say mara 1000. Hivi na kuingizwa katika mzunguko hapa nchini, mpaka hivi sasa zipo katika mzunguko dublicates kadhaa za note za 10000,5000,500 n.k
Serikali inatakiwa kuanza kuchukua hatua za haraka sana kupambana na hili, ikiwa kuna meli zaidi ya 65 zimeweza pakua mizingo ya aina mbali mbali na kutokomea bila kujulikana hapa Dar es salaam,tujiulize ni maburungutu mangapi yaliopita na kuingia katika mzunguko.