Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?

Mchina ni kama mchaga katumwa pesa au kafie huko huko afrika.
Nasikia wanapewa pesa wakiondoka wakitaka kurudi kwao ni lzm warudishe faida,hivyo usaka pesa usiku na mchana
 
Ndugu zangu watanzania epukeni bidhaa za kutoka China made in China achaneninazo Hawa huwa wanajali maslahi yao tu bidhaa zao fekiiii yan fekiii
 
Kama ni mla K Vant na Moet, basi hii ni kwa ajili yako. Yasemekana hao mabwana kutoka Asia ya Mashariki wamekamatwa jijini Dar wakiwa kwenye ‘karakana’ yao la kufyatua kopi za vinywaji hivi murua.

Hivi huwa wanapataje vifungashio visivyotia shaka?

Kwa uchafu wa hayo madumu, huenda yanahifadhia molasses. Na kama ndivyo, ningependezwa kuona mtambo wao na mchakato wa kukopi ladha na harufu za hivi vinywaji. Bado nabaki na maswali kedekede.

Nimestushwa zaidi na hiyo paint roller na rangi kwenye beseni, sijui vina kazi gani Mungu wangu!

View attachment 1899801View attachment 1899802View attachment 1899805View attachment 1899809
😂😂😂
Pia kuna wakati wachina wa Dar walikuwa wanatengeneza 'mayai ya kisasa' feki
 
Kweli aisee yaani jamaa wanatoka Asia wanakuja kupiga hela sisi tumelala. Jiulize kwao wanaweza kutengeneza kinywaji fake? Hapa kwetu wameweza tuwape kongole tuu maana hatuna akili hii.
Sisi tunaheshimu Mamlaka zetu lakini wao Wachina wanaziona Dhaifu kwa sababu ya Rushwa ndiyo maana hawaogopi ku take chance!!
 
Naamuru hao wachina wafumuliwe marinda yao mara nne kwa siku kwa miaka 12 mfululizo.
Tumechoka kuona wangese kama hawa wakituharibia biashara.
 
Wazee wa kugandamizia.. Mmarekani anamgwaya kwenye hiyo fani
Ningetamani kabla ya kuhukumiwa walazimishwe hiyo technolojia wawafundishe hata sido isambae kwa wingi ili watu wajiajiri kihalali kwenye kutengeneza diamond na kitoko
 
Chupa tupu za K-Vant zimepangwa nje ya nyumba.

Mzigo wa Moet & Chandon umepigwa picha ndani ya karakana.

Wachina wawili wamepigwa picha pekee yao.

Kwa ufupi, hakuna kiashiria chochote kuwa hapo ni Tanzania.
Exactly

Nahisi Picha zimechanganywa tu.

Na Hakuna local media yeyote iliyocover hii habari
 
Kama ni mla K Vant na Moet, basi hii ni kwa ajili yako. Yasemekana hao mabwana kutoka Asia ya Mashariki wamekamatwa jijini Dar wakiwa kwenye ‘karakana’ yao la kufyatua kopi za vinywaji hivi murua.

Hivi huwa wanapataje vifungashio visivyotia shaka?

Kwa uchafu wa hayo madumu, huenda yanahifadhia molasses. Na kama ndivyo, ningependezwa kuona mtambo wao na mchakato wa kukopi ladha na harufu za hivi vinywaji. Bado nabaki na maswali kedekede.

Nimestushwa zaidi na hiyo paint roller na rangi kwenye beseni, sijui vina kazi gani Mungu wangu!

View attachment 1899801View attachment 1899802View attachment 1899805View attachment 1899809
Tumia sheria ya kwao. Nyongelea mbali. Hawa, wahindi na wazungu wanatudharau na kutuchukia lakini bado tunawapa nafasi kuja kututukana. Wanyonge hata kwa kipigo haraka. We are tired of these racist leeches from Asia
 
Back
Top Bottom