Wachina Wakamatwa Wakichimba Kokoto Kwa Kikwete, Msoga..!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachina Wakamatwa Wakichimba Kokoto Kwa Kikwete, Msoga..!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jul 20, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading, width: 100%"]Wachina wakamatwa wakichimba kokoto Msoga [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"]Thursday, 19 July 2012 18:46 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]

  Nora Damian
  IDARA ya Uhamiaji, mkoani Pwani, imewakamata raia 12 wa China,saba miongoni mwao wakiwa hawana vibali vya kuishi nchini.

  Raia hao walikuwa wakifanya kazi katika Kampuni ya Tansino, inayojishughulisha na uchimbaji wa kokoto katika Kijiji cha Kinzagu, Kata ya Lugoba, Chalinze.

  Akizungumzia tukio hilo jana, Ofisa Emmanuel Bujumuro, alisema raia hao walikamatwa katika msako uliofanyika katika eneo la uchimbaji wa madini hayo.

  Alisema baada ya kuwatia mbaroni raia hao wa kigeni, walihojiwa na kubaini kuwa saba miongoni mwao walikuwa hawana vibali vinavyowaruhusu kufanyakazi nchini.

  Kwa mujibu wa afisa huyo, operesheni hiyo ilifanywa kwa ushirikiana na viongozi wa Tarafa ya Msoga na vyombo vya dola, baada ya taarifa kuwa wageni hao walikuwa wanachimba kokoto huku wakijificha kwenye makontena.

  Alisema katika msako huo walibaini kuwa ni wageni watatu tu, waliokuwa na vibali.Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Kinzagu, William Makumu, alisema tangu aingie madarakani mwaka 2009 hajawahi kupata ushirikiano kutoka kwa mwekezaji huyo.

  Ofisa Tarafa ya Msoga, Mbwana Madeni, amesimamisha mara moja shughuli za uchimbaji wa kokoto katika eneo hilo."Siwazuii kufanya kazi lakini lazima wafuate taratibu na kwa sasa nasimamisha shughuli zao hadi taratibu zitakapofuatwa,"alisema Source Wachina wakamatwa wakichimba kokoto Msoga[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Walipata vibali vya uwekezaji kuchimba kokoto, "Class A"
  Nchii hii imeoza
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,811
  Likes Received: 83,208
  Trophy Points: 280
 4. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  Mods hii sio habari ya siasa,ondoa peleka jukwaa la habari mchanganyiko
   
Loading...