Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

Wanyongwe hadharani,

Hii operesheni tokomeza irudi tu tena kwa nguvu zaidi

Mimi mwenyewe nimesikia hii habari kutoka vyanzo ninavyoviamini sana

Mkuu wingi wa Wachina nchini, wengi wao wakiwa na biashara za kijinga jinga naona wapo hapa nchini kwa operation maalumu i.e kumaliza TEMBO wetu na Vifaru! Haiwezakini meli ya Kijeshi ukahisikana na usafirishaji wa MENO ya TEMBO na sisi tukachukulia suala hilikimzaa mzaa - hii inaonekana ni a very well organised syndicate inayo involve baadhi ya Viongozi huko China si bure!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ninaamini yana mwisho haya

Tembo wetu ?? hivi baadae kule Ruaha watalii watakuwa wanakwenda kuangalia nini? vitindi vya ulanzi au?

Wewe Unasupport serikali hii dhalimu,haifuati rule of law,imewakumbatia wachina,bila shaka unajua hata huko UK, wanaouza fake DVD ni Wachina. Hakuna taifa lingine.

Shimbo amepelekwa China kukamilisha uovu wa serikali hii,juzi juzi tu baada ya yeye kufika China eti tumenunua fighter jets,10% imeshaingia mikononi mwa crooks wa CCM na serikali
 
Rais wa china atapiga simu tuu kuwaambia CCM wawachie raia wao..dhaifu si angebadilishana na prince hawa watu kuliko kuuza nchi..sasa mika 20 ijayo wachina si watakuwa raia wa nchi mbili wengi tuu na haya yatakuwa ya kawaida sana.
 
Wanyongwe hadharani,

Hii operesheni tokomeza irudi tu tena kwa nguvu zaidi

Mimi mwenyewe nimesikia hii habari kutoka vyanzo ninavyoviamini sana

Majuzi tu nyingine ilikamatwa hapo bandari ya Zanzibar leo hapa Dar ama kweli hali sasa imejidhihirisha ya kwamba serikali haiko makini ni legelege full!
Mwisho wao wajag
 
Hii lazima iwe connection ya Kinana,Nnape na Riz1!
Mnakumbuka yule Balozi wa China aliyepandishwa kwenye jukwaa la CCM kule Shinyanga kuipigi debe CCM?

Wachina kwa sasa ndio wanaoshirikiana na Chama Cha Magamba-CCM chini ya Katibu wake Mkuu Kinana kuendeleza Biashara ya pembe za Ndovu!

Tunajua hawahawa ndiyo wamevuruga zoezi la Operesheni Tokomeza Ujangiri ili waendelee kuvuna pembe za ndovu.
Poleni sana Mawaziri mliotolewa kafara na CCM yenu!
 
Mkuu Invisible

Kwakuonyesha kuwa jf tunajiamini na kile tunachoamini, na hakuna siri chini ya jua, hebu iondoe hii habari kwenye tetesi na uiweke ni HABARI MOTOMOTO,

Kama unaogopa wang'oa kucha na meno hebu weka jina langu ionekane ndilo lilio leta habari hii, au weka chanzo ni mimi,

Nitawajibika kwa lolote na kwa yeyote katika ardhi ya Tanzania na China,

Ukweli ni uhuru!
 
Huwa naumia sana nikiiona hii picha, hivi ni tembo wangapi wameuawa ili kupata pembe za kujaza makontena matano?
March-massacre-590x443.png
 
Naunga hoja mkono!
Copy kwa Invisible
 
Last edited by a moderator:
WABUNGE wote waliopinga OPERATION TOKOMEZA wote ni Majangili na wanajua wanachokifanya.
 
Huwa naumia sana nikiiona hii picha, hivi ni tembo wangapi wameuawa ili kupata pembe za kujaza makontena matano?
March-massacre-590x443.png

Kinachokuumiza nini wakati ni kazi ya katibu wako mkuu! Kwa roho chafu ya magamba bado watafanya hivyo hata kwa binadamu. Walivyo ving'ang'anizi wa madraka! We subiri 2015 kama si mkono wa Bwana.
 
Hii habari ni kweli tukio limetokea jana. JF si huru ndiyo maana iko tetesi likizuka jamaa wafunge thread kama vijana Adda Estate wakitimiza malengo yao.
 
Hapo bado Kinana na Ccm hawajajenga bandari yao Bagamoyo. Ikikamilika hatutajua nini kinaingia au kinatoka nchini mwetu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom