Wachina nusura kuuwawa leo!!

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
612
186
Wachina wawili nimekuta wakijiuguza majeraha huku wamekaa chini barabara ya Sam Nujoma karibu na Cocacola baada ya kula kipigo toka kwa wananchi wenye hasira kali.
Kutaonana na tabia iliyokithiri ya wenzetu wachina kujichukulia sheria mkononi inasemekana walimpiga hadi kuzirai kijana mmoja ambaye inaelekea aliwafanyia uhuni au kuwaibia, sehemu za Mwenge, Majembe Auction Mart.
Wananchi na watu waliokuwa karibu walijibu mapigo kwa kuanza kuwarushia mawe.Hawa jama wa Kichina wakaliacha gari lao lilokuwa na mbao na walijaribu kukimbia kuelekea Cocacola lakini ndio kundi la watu lilivyoendelea kuwa kubwa na mawe kuongezeka.
Wachina hao ambao inasemekana wanamiliki kiwanda cha mbao sehemu za Mikocheni maarufu kama "Kwa Mpemba Osama" nimewakuta wamekaa chini wakisubiri polisi.
Hata hivyo vile vile inasemekana kisago alichopewa kijana laiyetaka kuwaibia kilikuwa ni kikubwa na kijana kaumia vibaya sana.
 
Wacha wapigwe, washazid hao jamaa, yaan hii nchi wamefanya kama ya kwao, sasa kwakuwa walijifanya sheria mkonon acha wafundishwe adabu.. lol
 
wangewaibia na mbao zao wanaleta wenyeji kwenye nchi ambayo sio yao
 
watanzania wenzangu tumeanza matendo ya ubaguzi wa rangi,dini na mwisho itakua ukabila.hawakupaswa kujichukulia sheria mkononi kumwadhibu aliyewaibia,na haikua sawa watanzania wenzangu kujichukulia sheria mkononi kuwapiga wachina.tukumbuke na sisi tunao watanzania kibao nje ya nchi,wakifanyiwa hivi tutafurahia? Tafakari.
 
<br /> <br / kwahiyo wachina wako juu ya sheria mana wao ndo wameanza kutembeza kichapo??
 
Mbona sie wabongo ce kwa ce tunachukuliana sheria mkononi unajua kabisa mwizi ni flan hata ukimkaushia utamfwata kwao na kumuonya,ila tunamvika tairi tunamwasha moto. Bora hao wachina walichia uhai.
 
Acha uzuzu weweeeeee,,,,,,,,,,,umeielewa post???????hata wanaotuibia ni wageni na wanaua vijana kwa unga wengi wao ni hawa watu weupe
watanzania wenzangu tumeanza matendo ya ubaguzi wa rangi,dini na mwisho itakua ukabila.hawakupaswa kujichukulia sheria mkononi kumwadhibu aliyewaibia,na haikua sawa watanzania wenzangu kujichukulia sheria mkononi kuwapiga wachina.tukumbuke na sisi tunao watanzania kibao nje ya nchi,wakifanyiwa hivi tutafurahia? Tafakari.
<br />
<br />
 
Back
Top Bottom