Wachina noma

binti mmoja alizaa na mwanaume mchina. Baada ya miezi michache, mtoto akafariki. Katika majonzi binti alikuwa akilia na kulalamika, nilijua tu, nilijua tu, nilijua tu. Baada ya mazishi wakamwuliza, kwa nini ulilia ukisema nilijua tu? Akasema, niliambiwa kuwa vitu vingi vya kichina havidumu muda mrefu.

mh but huyu ni mtu si kitu !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom