Wachina noma


shanature

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
732
Likes
31
Points
45

shanature

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
732 31 45
Binti mmoja alizaa na Mwanaume Mchina. Baada ya miezi michache, mtoto akafariki. Katika majonzi binti alikuwa akilia na kulalamika, nilijua tu, nilijua tu, nilijua tu. Baada ya mazishi wakamwuliza, kwa nini ulilia ukisema nilijua tu? Akasema, niliambiwa kuwa vitu vingi vya kichina havidumu muda mrefu.
 

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Messages
4,516
Likes
19
Points
135

NATA

JF-Expert Member
Joined May 10, 2007
4,516 19 135
binti mmoja alizaa na mwanaume mchina. Baada ya miezi michache, mtoto akafariki. Katika majonzi binti alikuwa akilia na kulalamika, nilijua tu, nilijua tu, nilijua tu. Baada ya mazishi wakamwuliza, kwa nini ulilia ukisema nilijua tu? Akasema, niliambiwa kuwa vitu vingi vya kichina havidumu muda mrefu.
mh but huyu ni mtu si kitu !
 

Forum statistics

Threads 1,204,151
Members 457,147
Posts 28,143,410