Wachina na Wahindi watatumali sisi waTZ tusipokuwa Makini mapema

STEIN

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,770
553
Jamani hali inazidi kuwa tata kadiri siku zinavyoenda hasa kwa wale wafanyabiashara wadogo.

Hawa jamaa wanauza bidhaa bei ya jumla na reja reja ni sawa kwa hiyo mfanyabiashara wa kiTZ hawezi kushindana nao hata kidogo tunatakiwa wote tuwe consumers hii haiwezekani wazee tuamke na kuwatimua.
 
Back
Top Bottom