Wachina na unyonyaji dhidi ya vibarua ktk ujenzi wa Barabara hapa Tz

The Hiphop

New Member
Nov 12, 2011
4
0
Hv serikali huwa inafuatilia malipo wanayopata wafanyakazi/vibarua+haki zao wanazopata kutoka kwa wakandarasi wa kichina au ikisha pata mkandarasi wa bei rahisi inampotezea mfanyishwaji kazi?
 
Hao majamaa wamezidi sana nchini, kuna kazi zingine wanazifanya ambazo hata watanzania tungezifanya na wapo wenye uwezo huo. Lakini miradi yetu ya Taifa ni wachina tu ndio wamejazana humo.

Hata dereva wa gari la maji ni mchina!!! AIBU!!
 
Sio Balabala, kiswahili sahihi ni BARABARA. Duh Kazi kweli.
 
Back
Top Bottom