Jamani, hivi karibuni wachina wamekamatwa wakitorosha noti za Tanzania kwenda China , tena za mia tano tano. Kwa mwenye ufahamu, naomba kujua sababu ya kuzitorosha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.