Wachina kama walivyo mabeberu wanayasaka mafuta ya Sudan Kusini kwa kila namna

Wakati mzungu anatoa pesa na vifaa kwa serikali yetu ili kukabiliana na ujangiri kunusuru tembo wetu, mchina yeye ndo anawawinda na kuwaua tembo wetu ili tukose kabisa na hizo pesa za watalii wanaokuja kutazama tembo wetu. Mchina ni mshenzi sana.
Mnashindwa kulinda nchi yenu mpaka WACHINA wanakuja kuwaulia Wanyama wenu halaf bado mnajiita Nchi mnakwamia wap ?!...
 
Muafrika ni mtu wa chini na mtu duni sana katika dunia yetu hii. Huu ni ukweli dhahiri.

Muafrika ni kama dagaa kamba tu katika bahari yenye mapapa na nyangumi wa kila aina.

Africa needs a radical transformation.
 
ukweli mchungu
Ila wanayataka wenyewe...
 
hata nchi yako leo hii ikiwa super power itafanya hivyo hivyo kama wafanyavyo USA na CHINA. .. ulimwengu ndivyo ulivyo mkuu. . samaki mkubwa anakula samaki mdogo

jambo ambalo waafrica tunalo paswa kulifanya nikujikomoa toka katika haya mazingira ya kutumiwa kama ngazi kwaajili ya mataifa mengine kuweza kupanda kiuchumi na kufikia malengo yao
sisi tujiimarisha ili tuweze kuwa kama walivyo wao kisha tutafute waku watawala...
wajua wakati sisi tunawaona kuwa china na USA ni wabaya kwetu. mbele ya wananchi wao wana onekana kuwa ni mashujaa.. hii ina maana kwamba wema na ubaya wa mtu unategemea na aliposimamia. ...

MKuu yatupasa tutambua kwamba falsafa ina taka pawe na mtawala na watawaliwa so sisi ili tuweze kujikomboa yatupasa tuchague kuwa watawala

Huu ndio ukweli na hata sisi waafrika tunafanyiana hayo hayo tu.

Burundi sasa hivi wakereketwa wanalalamika wakisema Nchi yao imegeuzwa ni private property ya Kikwete na wanapelekeshwa tu na bongo wala wao hawana maamuzi yoyote.

Na hapo hawana rasilimali zozote zile za maana.

Ila hata sisi mtindo wa kusaidia watu burebure unatakiwa ufe yaani tukienda kama Congo kwny mission tunaiba vya kutosha na kuweka mizizi ya kuendelea kuchota mali na kuijenga Tz,kuna mtu atasema sasa unaiba nini Congo wkt walivyo navyo kama vile Almasi,dhahabu,Misitu hata Tz tunavyo?

Huyo ningemwambia hata US nchini kwao wanachimba mafuta kichizi lkn hawaachi kuiba mafuta huko nchi nyingine.
 
Wakati mzungu anatoa pesa na vifaa kwa serikali yetu ili kukabiliana na ujangiri kunusuru tembo wetu, mchina yeye ndo anawawinda na kuwaua tembo wetu ili tukose kabisa na hizo pesa za watalii wanaokuja kutazama tembo wetu. Mchina ni mshenzi sana.

Kuna meli ya wachina ya kijeshi ilikujaga bongo kwny matizi yao enzi za JK ilivyosepa tu aljazeera wakasema iliondoka na meno ya tembo ya kutosha,sijui kama ni kweli.
 
Na pia msisahau Sudan Kusin imefutiwa uanachama wa Africa(AU) baada ya kushindwa kulipa membership fee.
 
Kuna meli ya wachina ya kijeshi ilikujaga bongo kwny matizi yao enzi za JK ilivyosepa tu aljazeera wakasema iliondoka na meno ya tembo ya kutosha,sijui kama ni kweli.
Hadi ndege ya Rais wa China alipofanya ziara hapo bongo Al Jazeera walisema ilibeba.
 
Na pia msisahau Sudan Kusin imefutiwa uanachama wa Africa(AU) baada ya kushindwa kulipa membership fee.
Hawa jamaa wana visima vya mafuta ila viwanda vya kusafisha hayo mafuta vipo huko Sudan Kaskazini hivyo bado hawajaweza kunufaika na huo utajiri.

Marehemu Gadaffi angekuwepo angewalipia hiyo ada..😂😂😂
 
Nimetetea nime waambia ukweli kwani hao wazungu wamefanya mangapi ?!

Pale german si wanaeyule mjusi wenu mkubwa hv walimrejesha kweli ?!
Kama Kuna suala serikalini la kurejesha mjusi nami niko upande wa nchi yangu wajerumani waturejeshee mjusi wetu, ninachojua cha uhakika serikali iko katika vita vya ujangiri kunusuru tembo wetu, lakin washenzi wachina wanakomaa kuua tembo afu cha ajabu unawatetea hapa! Yaani hata kuwakosoa wachina huwezagi kabisa. Likija suala la wachina kunyanyasa waislam wenzio hukosoi, likija suala la wachina kubagua watu weusi unaona poa tu, hili la ujangiri wa mchina katika nchi yako nalo unaona ni sawa tu! Interesting!
 
Nchi yangu ipi MKUU

Dual citizen msha anza kuruhusu ?!
 
Ushahidi ?!
Kwa kuomba ushahidi tu haujambo, lakin hata ukipewa huwa ukubali, haya ushahidi huo hapo Sasa unasemaje?
Screenshot_2020-06-24-23-35-24-92.jpg
Screenshot_2020-06-24-23-33-09-02.jpg
 
Back
Top Bottom