Wachina bado sana kwenye teknolojia, ni copy and paste. Kuhusu ubora bado wapo chini sana na wanaendelea kujifunza

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
China imekuwa sehemu kubwa ya vitu vingi vinavyo zalishwa na kusambazwa duniani ila hawa watu washukuru bila nchi za ulaya na mataifa makubwa kuogopa ujila wa mishaara mikubwa kwa ajili ya viwanda vyao, ndio wakapeleka china ili kuweza kupata urahisi wa uzalishaji.

Mwisho wa siku tafiti nyingi zilizikuwa zinafanywa zilibebwa hivo hivo na kufundisha wachina na leo wachina wanaonekana kutumia vizuri.

Nimejaribu kufatilia magari ya umeme toka china ndipo nikagundua hawa watu bado kabisa

IMG_1281.jpg

IMG_1280.jpg

IMG_1279.jpg

IMG_1278.jpg


hii ni gari ya tesla kutoka usa


IMG_1284.jpg

IMG_1283.jpg

IMG_1282.jpg



bei za wachina magari ya umeme ali baba

IMG_1285.png


bei tesla tena used
IMG_1286.png
 
Au sio....
Copy...paste then modify hata hao wasio wachina wanafanya sana.
Sema unawaonea wivu wachina tu.
Acha sisi tuendelee kuagiza meter za umeme, meter za maji, simu, subwoofer, mini music player, solar panels, tooth stick, brash za viatu, miswaki, vyombo vya nyumbani, phone accessories, and n.k.

China technology bado sana coz wana copy tu....
Bora Tanzania hatutaki ku copy technology ya mataifa mengine, sisi tutagundua yakwetu mpya kabisa, ni suala la muda tu.

Kwa sasa acha tutumie vitu kutoka kwa hao wanao copy, then mwaka 30021 tutakuwa tumesha gundua vyakwetu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
mwisho wa siku tafiti nyingi zilizikuwa zinafanywa zilibebwa hivo hivo na kufundisha wachina na leo wachina wanaonekana kutumia vizuri.

nimejaribu kufatilia magari ya umeme toka china ndipo nikagundua hawa watu bado kabisa
Nami nimefuatilia post yako ili nione ukizungumzia technical aspects za hayo magari uliyoweka kama reference lakini nakuta umeishia kuonesha bei tu!! Ni kama unajaji "ubado" wa Uchina kwa kuangalia bei!!

Does it ring a bell when someone says "budget cars"? or "Budget Something"?

Inawezekana una hoja lakini umeshindwa kuijenga hoja yako kwa hoja! Hizo ulizoweka za vidola elfu kadhaa ni Budget Cars lakini huko huko China kuna electric cars zinazouzwa kwa zaidi ya $50K, na mfano mzuri ni NIO EC6 inayouzwa zaidi ya $70K.
 
Nami nimefuatilia post yako ili nione ukizungumzia technical aspects za hayo magari uliyoweka kama reference lakini nakuta umeishia kuonesha bei tu!! Ni kama unajaji "ubado" wa Uchina kwa kuangalia bei!...
Hapo umenena, China ubora wa bidhaa unaendana na kile utakachokuwa tayari kulipia, you get what you pay for

SmartSelect_20211011-223559_Chrome.jpg
SmartSelect_20211011-223711_Chrome.jpg
 
MBONA SISI HUKU TOZONIA TUNAAGIZA VYUPI , LESO , MADEKIO , PADS , NK kutoka uchina ......vipi na sisi hatuwezi kucopy na kupaste technology ili tuwe like chinese plz.

NAKUONA MTOA MADA UMEVAA CHUPI KUTOKA CHINA ...( samahani sitarudia tena ).
 
KUMBEE WANAUWEZO WA KUIGA KUTENGENEZA HADI MAGARI MBALIMBALI.

SISI jembe chapa jogoo from china.
Vyupi vya mtumba from china.
Leso from china
Toothpic from china.
SIMU YAKO from china.

Nk .
 
china imekuwa sehemu kubwa ya vitu vingi vinavyo zalishwa na kusambazwa duniani.

ila hawa watu washukuru bila nchi za ulaya na mataifa makubwa kuogopa ujila wa mishaara mikubwa kwa ajili ya viwanda vyao.ndio wakapeleka china ili kuweza kupata urahisi wa uzalishaji...
Wabongo mmetoa nini paka karne hii mzee?
 
We jamaa umeniudhi sana
china imekuwa sehemu kubwa ya vitu vingi vinavyo zalishwa na kusambazwa duniani.

ila hawa watu washukuru bila nchi za ulaya na mataifa makubwa kuogopa ujila wa mishaara mikubwa kwa ajili ya viwanda vyao.ndio wakapeleka china ili kuweza kupata urahisi wa uzalishaji
 
china imekuwa sehemu kubwa ya vitu vingi vinavyo zalishwa na kusambazwa duniani.

ila hawa watu washukuru bila nchi za ulaya na mataifa makubwa kuogopa ujila wa mishaara mikubwa kwa ajili ya viwanda vyao.ndio wakapeleka china ili kuweza kupata urahisi wa uzalishaji...
Wamefika mwezini kwa teknolojia hiyo hiyo ambayo unawazarau. Na wanakutengeneza hata mifereji hapo unapokaa.
 
china imekuwa sehemu kubwa ya vitu vingi vinavyo zalishwa na kusambazwa duniani.

ila hawa watu washukuru bila nchi za ulaya na mataifa makubwa kuogopa ujila wa mishaara mikubwa kwa ajili ya viwanda vyao.ndio wakapeleka china ili kuweza kupata urahisi wa uzalishaji...
Wachina usiwachukulie powa- vitu vyote kuanzia gari,hiyo Iphone uliyonayo,hizo spea zinazounda Tesla cars,Lambogin etc.

TV,majiko yaani kila kitu,kuanzia nguo,viatu,dawa vinazalishwa China au vina sehem yake imeundwa China.....Ukifika China kwanza utaelewa nini Quality and seriousness .
 
Back
Top Bottom