Habari njema kabisa kutoka Geita.
Wachimbaji wote 15 waliokuwa wamelazwa hospitali ya Geita jana kwa ajili ya matibabu baada ya kuokolewa wameruhusiwa kutoka hospitalini leo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.