Wachimbaji wa green tourmaline

Jul 12, 2018
36
16
Habari wananchi... Natafuta watu ambao wanahusika na uchimbaji wa green tourmaline ndani ya Tanzania . Lengo hasa ni kufanya biashara na kuchimba pia!

Asanteni
 
Asee nenda maeneo ya mnazi ipo tanga nimewahi kushiriki utafiti na wahindi flan 2017 lakini majibu siyajui ilipatikana kwa asilimia ngapi? Na kama bado wapo zaidi nenda wizara ya madini utapata mapping survey data uamue mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom