Wachezi wa simba wanaitaji kupumzishwa kabla ya gemu inayofata baada ya kuchoshwa na mazoezi ya ovyo ya Cadena na Matola

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,659
2,255
Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala.

Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe.

Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu inayofata. Asifundishe chochote.
 
Kkmk
 
Wachezaji hawalipwi kwa wakati mkuu. Wawalipe kwa wakati
 
Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala.

Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe.

Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu inayofata. Asifundishe chochote.
Mlete Wenger bado Simba itacheza ovyo. Aliyesajili kihuni ndo wa kulaumiwa.
 
Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala.

Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe.

Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu inayofata. Asifundishe chochote.
we unayajua hayo mazoezi wanayopewa na cadena?we unajua leseni ya cadena? je wewe una leseni ipi ya ukocha mpaka ujue kuwa mazoezi ya cadena ni ya hovyo?
 
Hata scania huchoka, Kuna wachezaji kibao unaona kabisa hawana tena cha kuoffer, huo ndio ukweli ambao hautaki kukubaliwa na bado maumivu yapo paleple.
 
Tuachane na hizi sababu zisizosaidia timu, kiufupi wachezaji wengi wa Simba ni wale ambao graph zao za Upiganaji na Ufanisi uko kwenye kuteremka...

Hawa wachezaji nguvu zao walizokuwa nazo karibia miaka 10 iliyopita ndo zinahitajika kutimiza malengo ya hii Simba ya sasa...
Simba ina wachezaji wengi waliokaa nao mda mrefu na kucheza michezo mingi,hawa wachezaji ni heri waende kutafuta changamoto zingine.

Manula Simba kakaa zaidi ya miaka 7
Bocco zaidi ya miaka 7
Kapombe zaidi ya miaka 7
Shabalala zaidi ya miaka 7
Chama zaidi ya miaka 5
Kennedy huyu pamoja na kukaa benchi si chini ya miaka 5
Saido- umri
Mzamiru si chini ya miaka 5

Wapo kibao wamekaa Simba na hawafanyiwi rotation wengine,Simba ya sasa hawakuzi wachezaji kisoka wanaenda kukaa tu benchi hasa wa ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujishtukii, alikunyima nini Cadena Mpaka unamchukia hivyo?
Unajaribu kupandikiza nini mioyoni mwa watu, bahati mbaya watu wamekupuuza.
Ni cadena ndiyo alimsajili Bonge Miqson?
 
Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala.

Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe.

Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu inayofata. Asifundishe chochote.
Tatizo soyo Robertinho wala Mangungu sasa??
 
Back
Top Bottom