Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

1-Charles Boniface Mkwasa
2- Charles Alberto
3- Charles Kilinda.
Ndani ya kikosi 1980

no 8 - Mkwasa
no 7 -Kilinda
no 11- Alberto
 
Said Nasoro Mwamba 'Kizota'
huu ulikuwa ni mtambo wa level nyingine kabisaaa, sijui ni kwa nini hakucheza ligi za Europe!
 
Said Nasoro Mwamba 'Kizota'
huu ulikuwa ni mtambo wa level nyingine kabisaaa, sijui ni kwa nini hakucheza ligi za Europe!
Nakumbuka miaka ya 90's kwenye fainali ya cecafa kati ya Yanga Vs Villa pale Nakivubo stadium, Kampala, ilibidi wachezaji wote wa Villa warudi nyuma ku defence na kumkaba kizota baada ya kuwasambaratisha vibaya ndani ya dakika 15 za mwazo tayari katupia 3 akisaidiana na lunyamila, waganda adi leo hii huwa hawaisahau ile finally!
 
  • Thanks
Reactions: ram

Villa ya Majid Musisi na akina Jackson Mayanja.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Kwa niliowaona ni Mrisho Ngasa, Boniface Ambani na Haruna Niyonzima
 
Kenneth Mkapa, Gibson Sembuli, Constantine Kimanda, Boniphace Mkwasa, Salvador Edward, Fred Felix Minziro, Steven Nemes, Leodgar Tenga, wooooteeeeeee hawa haujaona majina yao eti....!!?? Acha ubaguzi wa kijinga
Yanga ni moja ya timu ambazo wachezaji wake wengi wanakaa kwa muda mrefu kwenye timu bila kuhama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom