Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

Mimi mnyama damu lakini,lakini wachezaji bota waliowahi pitia Yebo FC..
1.Method Mogella
2.Said Mwamba Kizota
3.Kimanda Costastine
4.Edibily Lunyamila....
 
Ingawa mimi ni mshabiki mkubwa wa Simba SC, wachezaji hawa watatu wa Young Africans walikuwa wananikosha sana ambao niliwaona wakicheza kwa macho yangu:-
*Edibily Lunyamila. Sidhani kama kuna mjadala mkubwa kuwa ni miongoni mwa mawinga watatu bora kabisa kutokea Tanzania.
*Athumani China. Miongoni mwa viungo bora kutokea nchini.
*Constantine Kimanda. Ingawa alicheza kwa kipindi kifupi Young Africans, aliitendea haki nafasi yake. Nilikuwa na wakati mgumu kuchagua yupi ni bora kati ya Kimanda na George Masatu wakati ule.
 
mimi ni shabiki wa Simba kama wewe...ila Costantine Kimanda ni funga kazi> George Masatu wala nani hamna wa kumfikia! Nafikiri ni mchezaji mzuri wa yanga au ligi ya tanzania at all time!
 
Kwa kweli napata tabu sana kuchagua nani alikuwa mchezaji mzuri zaidi. Nakumbuka vilivyo mechi ya Yanga vs Simba ya mwaka 1994, ambayo Simba alishinda 4-1. Nakumbuka nilikuwa uwanjani na Athumani China aliichezea Simba. Wakati ule kuhama kutoka moja ya timu hizi kwenda kwa mahasimu wako ilikuwa ni jambo la kijasiri sana. Pia Masatu na Kimanda walikuwa katika ubora wao. Wote wawili walifunga.
Kwa kweli kama wachezaji wa miaka ile wangekuwa wana bahati ya kuwa na miundo mbinu ya sasa pamoja na wadhamini wengi wa sasa (ingawa walikuwepo wakati ule kama Dewji na Gulamali), nina imani mpira wa Tanzania ungepiga hatua kubwa sana.
 
Nakumbuka hiyo mechi, goli la simba alilofunga George lilikuwa mpria wa adhabu! Na yanga kili wagharimu sana kwani Method hakucheza siku hio na badala yake Kimanda alimaliza na Kabunda! N aynga ilikatika sana kiungo such kwwamba ili mlazimu Kimanda mbali ya kuwa mkoba pia alikuwa akipandisha mpira mbele na kuwa kiunga ...wakti mwingine alipga mashut golini kwa simba!

George was good, but Kimanda was the best!

Hao wahindi Dewji na Gulamali mm kwa upande wangu naona kuwa ndio walio uwa soka la tanzania kwa kiasi kikubwa sana!
 
Ahmed Amasha
Charles Boniface Mkwaya
Issa Athuman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bakari malima "jembe ulaya"
Edibily jonas lunyamila
Mohamed hussein "mmachinga"
 
  • Thanks
Reactions: ram
Kitu nilicho notice katika list zote za watu hapo juu ni kuwa:
Karibu wachezaji wote Nyota waliotajwa ni Waislamu.
Isipokua Peter Manyika na Nsajigwa tuu...
Wengine wote ni Waislamu... Waislamu wako juu aisee..
 
Kenneth Mkapa, Gibson Sembuli, Constantine Kimanda, Boniphace Mkwasa, Salvador Edward, Fred Felix Minziro, Steven Nemes, Leodgar Tenga, wooooteeeeeee hawa haujaona majina yao eti....!!?? Acha ubaguzi wa kijinga
 
Wangekuwa wametajwa ningewaona....
Hawapo kwenye list ya Wachezaji nyota wa Yanga wa muda wote
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom