Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwemo Jaja na Jama Mbawachezaji wote wa kimataifa
#youngafrican#
Hao ni Simba acha makusudiBoniface pawasa,
Mafisango,
Okwi.
Hao mapopoma hata wangecheza Yanga wasingegusa 200 boraBoniface pawasa,
Mafisango,
Okwi.
Penye yanga pana simba na penye simba pana yanga!Hao ni Simba acha makusudi
Shadrack Nsajigwa ''Fuso".Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc.
Mimi naanza na hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii
tupe list yako...
Hawastahili kuchezea Yanga hawa, kiwango chao ni SSC na ulaya labda.
Chukua wako ambao sio wako waache, ujue sio wa ligi yako wako juu zaidi.
Ulaya Okwi mbona kakaa miaka miwili kacheza zisizozidi dk 20 akaona bora aje achukue nssf yake kwa mbumbumbu fcChukua wako ambao sio wako waache, ujue sio wa ligi yako wako juu zaidi.
Unasema hayo toka moyoni mwako au?
Mezani FC, mna tabu nie, hata issue isiyohitaji mabishano mnabishana tu....haya tuachie wakwetuChukua wako ambao sio wako waache, ujue sio wa ligi yako wako juu zaidi.