Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 333
Mh.Kilanga hapo umenena na je wasemaje kuhusu kuongezewa mkataba Mzee Maximo?Degauche2008 hiki ndicho naongea hapo juu, inabidi wachezaji wawe na humility kidogo.
Mh.Kilanga hapo umenena na je wasemaje kuhusu kuongezewa mkataba Mzee Maximo?Degauche2008 hiki ndicho naongea hapo juu, inabidi wachezaji wawe na humility kidogo.
Huyo Chuji hajui mpira wote tuwasikilize wanini? Na jana atasema nini kuhusu kiwango kibovu alichoonyesha waliocheza na waarabu kama vile hakuwemo uwanjani na hapo atamlaumu Maximo? Hawezi mpira na mwacheni Maximo afanye kazi yake msimvunje moyo. Mbona kabla ya Maximo hamkupanda KWENYE FIFA ranking.Siasa tu hizi. Kwa nini na wachezaji wasisikilizwe? Je wachezaji wengine mbali ya hawa walio na tough na kocha wana comment gani? mnashinda kupiga kelele hapa bila kusikia side ya pili na kuipa nafasi ya kusikilizwa utetezi wao!
Tangu lini mbrazil pamoja na mafanikio ya nchi yao katika soka wakafundisha timu ya taifa lolote lingine ikawa na mafanikio?sikumbuki hata taifa moja. kama lipo basi nihabarisheni.
Ni bora aondoke tulete tena kocha mwingine. Huyu tayari ameonyesha mafanikio hafifu na nategemea kuona mafanikio hafifu zaidi akiendelea kuwa na timu ya taifa.
Mbona kabla ya Maximo hamkupanda KWENYE FIFA ranking.
Kiranga: Degauche2008 hiki ndicho naongea hapo juu, inabidi wachezaji wawe na humility kidogo.
Kamanda anaweza asikuelewe kabisa!Mh.Kilanga hapo umenena na je wasemaje kuhusu kuongezewa mkataba Mzee Maximo?
Kamanda anaweza asikuelewe kabisa!
Huyo Chuji hajui mpira wote tuwasikilize wanini? Na jana atasema nini kuhusu kiwango kibovu alichoonyesha waliocheza na waarabu kama vile hakuwemo uwanjani na hapo atamlaumu Maximo? Hawezi mpira na mwacheni Maximo afanye kazi yake msimvunje moyo. Mbona kabla ya Maximo hamkupanda KWENYE FIFA ranking.