Wachezaji Waliopata 'Standing Ovation' Kutoka kwa Mashabiki wa Wapinzani Wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachezaji Waliopata 'Standing Ovation' Kutoka kwa Mashabiki wa Wapinzani Wao

Discussion in 'Sports' started by Companero, Feb 21, 2011.

 1. Companero

  Companero Platinum Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  1. Diego Maradona
  2. Ronaldinho Gaucho
  3. Comrade Companero
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huyo wa 3 anachezea timu ipi? ama alikuwa timu zipi?
   
 3. Companero

  Companero Platinum Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mchungaji kanuni ya JF umeisahau?

  Namba 1 na 2 walipata Standing Ovation kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu baada ya kuigalagaza Real Madrid!
   
 4. Companero

  Companero Platinum Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 5. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Nimekusoka Mkuu.
  anayempinga Gaucho huyo anachuma dhambi kwa makusudi.

  Gaucho ni mbarikiwa aliyetoka Mbinguni na kuja kutia radha mchezo wa soka.

  Unapotaja jina la Ronaldo de Assis Morreira basi unatakiwa usimame kama ulikuwa umekaa.

  Alikamilisha mafanikio yake ya Soka baada ya kuchezea klabu ya AC Milan.
  klabu ambayo ina mafanikio kuliko klabu yoyote Duniani na pia ndio klabu iliyopata kuchezewa na nyota wengi zaidi hapa Duniani.

  Kwa sasa Dinho ni nahodha wa klabu ya Flamingo ya huko kwao.
  siku ya kwanza ya Gaucho kuchezea klabu hii alitambulishwa chenga mpya zapata 13 huku washabiki waliofurika uwanjani hapo wakikiri kuwa Gaucho ni mbarikiwa...

  Forza Dinho
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huyu ni Gang Chomba! Hebu tafuta basi clip youtube tufurahie huyo messiah wa soka. Nyumbani usimsahau Zamoyoni Mogella.
   
 7. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Ronaldo de lima alipotupia hat trick ktk uwanja wa old traford, mechi kati ya Manchester united na real madrid mwaka 2003 iloishia kwa Man utd kushinda 4-3
   
 8. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Labda waliotajwa hapo juu walipata standing ovation kwa umahiri wao kusakata soka lakini kwa namna ya pekee ANDRES INIESTA ktk mechi ya mwisho wa msimu wa 2010 alipata standing ovation ktk mechi dhidi ya Espanyol ilichezwa Estadi Cornella-El Prat,na hii ilifuatia ku dedicate world cup winning goal kwa aliye kuwa mchazaji wa Espanyol ambaye ambaye alikufa kifo cha ghafla kwa Cardic arrest,kama tunakumbuka baada ya goli Iniesta alivua jersey na flana ya ndani ilisomeka "Dani Jarque: siempre con nosotros..daima tutakuwa nawe!
   
 9. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Achana na mambo ya vifo na Majanga...
  Dinho kama Dinho siku hiyo ktk Dimba la El Santiago Bernabeu alicheza soka la ngazi ya Mbinguni mpk washabiki wa Madrid kwa kiburi walichonacho waliungana na Malaika wa huko Mbinguni kumpigia makofi MT Dinho.

  wataalam wa maswala ya Anga walisema kuwa usiku wa siku hiyo ilionekana nyota ya ajabu ikimulika juu ya uwanja huo wa Madrid.

  Inaaminika kuwa nyota hiyo ilikuwa inammulika St Gaucho...
   
 10. Companero

  Companero Platinum Member

  #10
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 11. G

  Gathii Senior Member

  #11
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kaka Ulichoandika kinaweza kisiwe kweli per ce! lakini nimekukubali the way ulivyjaribu kumuelezea Gaucho,hakika alikuwa ni symbol ya entertainment footbal,the game I adore..Sijaona mfano wake kaka na hilo halina ubishi..alikuwa anaburudisha na kuuweka mchezo wa soka juu.

   
 12. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Ronaldo de Lima alipata OT baada ya kupiga hat-trick
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  bwahahahahahaha.....
   
 14. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  MKuu naona umetumia lugha isiyo ya kistaarabu..ACHANA NA MAJANGA NA VIFO-what does it mean...point ni wachezaji waliopata standing ovation sasa unachokataa wewe ni kipi au ulitaka lazima iwe kwa namna unayotaka wewe? kuku ni kuku jogoo jina
   
 15. Companero

  Companero Platinum Member

  #15
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ina maana na siku mlipomwaga hapo Stadio San Siro anga lilitanda giza, jua likatiwa giza na mwezi pamoja na nyota zikaacha kuumulika uwanja?
   
 16. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hivi hata kwetu si na yule MBUYI YONDANI na MWAIKIMBA nao si walipata hiyo manaita standing ovation sijui au nachanganya vitu....
   
 17. Companero

  Companero Platinum Member

  #17
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Usichanganye madesa, waliipataje - nani waliwapa na ni wapi hapo?
   
 18. a

  ablood8 Senior Member

  #18
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Hata Thiery Henry mwaka 2004 mechi ya mwisho wa msimu dhidi ya Portsmounth alipewa hiyo standing Ovation baada ya kutupia 3,kukamilisha ile unbeaten record.
   
 19. Companero

  Companero Platinum Member

  #19
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  WADAU WA SOKA hapa tunaongelea STANDING OVATION kutoka kwa WASHABIKI WA TIMU YA UPINZANI kwenye uwanja wa TIMU PINZANI!
   
 20. g

  gutierez JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  kaka upunguze upenzi unapotoa hoja yako,AC Milan ina mafanikio ktk soka la bara la ulaya soma hapa European football records - Wikipedia, the free encyclopedia
  halafu hapa ina rekodi sawa na Boca Juniors duniani List of confederation and inter-confederation club competition winners - Wikipedia, the free encyclopedia
  sasa inabidi uwe na data kuthibitisha kauli zako usiongee sana kinazi data hujakamilisha vizuri,ni sawasawa kuna mtu nilimwambia liverpool kwa sasa ni timu yenye mafanikio england kwa michuano ya ulaya,ila kwa jumla man utd,sawasawa na italy kwa jumla juventus,nikamuuliza arsenal na nottingham forest kasema nottingham forest,nikamuambia ukisema kwa michuano ya ulaya sawa ila kwa idadi ya mafanikio yote kimakombe ni arsenal maana ni ya 3 kwa mafanikio england baada ya man utd na liverpool
  Football records in England - Wikipedia, the free encyclopedia
  hii kwa Italy cheki hapa
  Football records in Italy - Wikipedia, the free encyclopedia
  samahani lakini nimetoka nje ya mada,ila tupunguzeni kuongelea kinazi sana bila kuwa data kamili au kuongea kwa umakini unamaanisha nini,sitastaajabu utasikia wengine watakuja kusema timu fulani nayo ina mafanikio makubwa sababu ni wanazi bila kuelezea pointi yao,jenga hoja na uwe na risiti watu watakuelewa sio kulazimisha huku data hauna,bora ukae kimya au search ukamilishe data yako na pointi yako,samahanini nimetoka nje ya mada lakini.QUOTE]
   
Loading...