Itakuwa ni kumwonea, kwasabb yeye siyo kocha wala mchezaji.NA YANGA IKIFUNGWA MANARA AKIRUDI ANATUPIWA CHUPA!
Mnahitaji kuendelea kujifunza ili mfahamu kwamba kupata chanjo hakukuondolei kuambikizwa covid, nimekuwa nikisbuhudia raia kibao wa nje wanapofanyiwa PCR test wanakutwa wakiwa positive, na ukimwuliza anakwambia tayari ninachanjo zote, tofauti iliyopo tu ni kwamba unapokuwa umechanja hauonyeshi dalili yoyote, Kati ya wachezaji ishirini na kukuta watano ni symptomatic ni jambo la kawaida.Siyo Yanga tu nimesema wachezaji wote mkuu, hata hivyo taarifa hivi so za uhakika
Figisu figisu zmeanza yanga njia wapo panda CAFTaarifa kwamba zaidi ya wachezaji wapatao 6 wa Young Africans kukutwa na dalili za Covid 19 Ni za kweli? Wachezaji wanaosemekana kukumbwa na dalili hizo chanzo kimeeleza Ni Kaseke, Adeyu, Bangala,Mukoko, Ambundo, na Yakuba. Mwenye taarifa za ukweli atupe Hali halisi.
Kale kamsemo ka akuanzae mmalize kanafanya kaziWachezaji wa Yanga, Simba na Azam wote walidungwa J&J. Hizi figisu ni hatari
Wewe sio mnyama kweli ,unajaribu kupenyeza taharuki?Taarifa kwamba zaidi ya wachezaji wapatao 6 wa Young Africans kukutwa na dalili za Covid 19 Ni za kweli? Wachezaji wanaosemekana kukumbwa na dalili hizo chanzo kimeeleza Ni Kaseke, Adeyu, Bangala,Mukoko, Ambundo, na Yakuba. Mwenye taarifa za ukweli atupe Hali halisi...
Hizo habari ni za kwako shetani ajawai kumshinda mungu, majibu ya covid bado ayajatoka mpaka sasa wewe izo taarifa umezipata wapi, na sisi ndo tuko na timu Nigeria unaongea upuuzi gani,Taarifa kwamba zaidi ya wachezaji wapatao 6 wa Young Africans kukutwa na dalili za Covid 19 Ni za kweli? Wachezaji wanaosemekana kukumbwa na dalili hizo chanzo kimeeleza Ni Kaseke, Adeyu, Bangala,Mukoko, Ambundo, na Yakuba. Mwenye taarifa za ukweli atupe Hali halisi...
Weka ugoko niweke nondo.
Jana Pascal Kapombe akiripoti toka Nigeria alisema walipofika uwanja wa ndege Nigeria uhamiaji walichukua vyeti vyote vya kupimwa covid vya wachezaji na wote waliotoka Tz na hawakurudishiwa ,walipoulizwa wakaambiwa huo ndo utaratibu wao ,inabidi waanze upya process za kupima Covid.Sio kweli,yanga wachezaji wote,walidungwa j&j,na pia wana vyeti vya kuoimwa na pia wameenda na modokta ambao watasimamia upimwaji wao huku
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Uko karume unapiga debe hata passport hujui ina rangi gani!! Unajitutumua eti upo Nigeria!!Hizo habari ni za kwako shetani ajawai kumshinda mungu, majibu ya covid bado ayajatoka mpaka sasa wewe izo taarifa umezipata wapi, na sisi ndo tuko na timu Nigeria unaongea upuuzi gani,
Ikiwa hivyo mechi itaahirishwaNa makipa wote wanne wamekutwa na mambukizi
Pole mkuuDuuuuuuuuu umenifanya nicheke huku naumwa
Umbeya huo Babra unapata shida sana hakuna kitu kama hicho.Wachezaji wote wako salama na wako tayari kwa mchezo wa leo.Jiandae kisaikolojia mwisho wako wa mbwembwe Tarehe 25/9/2021 kwenye mechi ya Ngao ya jamii.Nyama pori italiwa supu bila hurumaTaarifa kwamba zaidi ya wachezaji wapatao 6 wa Young Africans kukutwa na dalili za Covid 19 Ni za kweli? Wachezaji wanaosemekana kukumbwa na dalili hizo chanzo kimeeleza Ni Kaseke, Adeyu, Bangala,Mukoko, Ambundo, na Yakuba. Mwenye taarifa za ukweli atupe Hali halisi...
Ahsante Sana mkuu
Acha kulia lia we utopwinyo, na bado, muosha huoshwa.Taarifa kwamba zaidi ya wachezaji wapatao 6 wa Young Africans kukutwa na dalili za Covid 19 Ni za kweli? Wachezaji wanaosemekana kukumbwa na dalili hizo chanzo kimeeleza Ni Kaseke, Adeyu, Bangala,Mukoko, Ambundo, na Yakuba. Mwenye taarifa za ukweli atupe Hali halisi...