Wachezaji wa Twiga Stars hupatika Vipi?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Wakuu habarini!

Tanzania katika mpira wa miguu tuna Timu za taifa kadhaa,ikiwemo Taifa stars,Twiga stars kwa upande wa wanawake na vijana chini ya miaka 21

Katika timu ya Twiga stars kuna kitu huwa sielewi wale wachezaji wanapatikana vipi? maana sijawahi sikia kama kuna ligi ya mpira wa miguu kwa wanawake Tanzania au vilabu? sasa kocha huwa anatumia vigezo gani kupata wachezaji

Maana tunaweza kuwa tuna laumu kwanini timu haifanyi vizuri kumbe hawana mipango ili wakashindane kimataifa
 
Back
Top Bottom