Wachezaji wa timu ya Taifa hawawezi kuwa smart? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachezaji wa timu ya Taifa hawawezi kuwa smart?

Discussion in 'Sports' started by Nyleptha, Oct 25, 2012.

 1. Nyleptha

  Nyleptha Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeona mara nyingi katika picha mbalimbali za wachezaji wetu wa timu ya Taifa wakiwa nje ya uwanja, mavazi yao kwakweli hayawapi hadhi ya kimataifa kama ambavyo wachezaji wa timu za nchi nyingine wanavyojiweka. Hii ni katika matukio muhimu kama kwenda ikulu, bungeni n.k yaani wako rafu. nauliza je tatizo ni wao wenyewe au pesa ndio hakuna za kuwafanya wawe smart, au ndio mameneja wao hawako makini? nilibahatika kukutana na hii post ya zamani, wadau iangalieni nanyi mjiulize.
  KARIBU NYUMBANI: MPANGO KATIKA PICHA HUTIA NAKSHI
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Labda tungeanza na tafsiri ya u-smart.
  Inawezekana unataka kina Boban wavae suti kama wachezaji wa timu ya taifa ya Uingereza, they have their codes, and maybe we do not have ours. Halafu kuna masharti ya mdhamini, nadhani popote ambako timu inakusanyika as whole (isipokuwa kwenye mechi) wanatakiwa wavae nguo zenye brand ya mdhamini. Sasa suti halafu mgongoni ina bonge la kamlogo la SERENGETI?
   
Loading...