Wachezaji wa Tanzania wana mengi ya kujifunza kutoka kwa Ngasa

Hizo zote zinaweza kuwa ni sababu lakini yule Bwana Mdogo alikuwa anapenda sana wanawake nafikiri ndio sababu hasa ya kiwango chake kuporomoka kwa haraka .
Wanawake sio tatizo bali nidhamu ya mpira na kujielewa nini unataka ndio tatizo

Wachezaji wengi west Africa na ulaya wanapenda watoto ila wana nidhamu ,wana kula vizuri ,mazoezi kwa wakati na mengi .

Ngassa hakuzingatia hayo kama wachezaji wengi wa bongo walivyo
 
Jamaa Kila siku anaoa mke mpya, mpira utakuwa saa ngapi?
 
Hizo zote zinaweza kuwa ni sababu lakini yule Bwana Mdogo alikuwa anapenda sana wanawake nafikiri ndio sababu hasa ya kiwango chake kuporomoka kwa haraka .
Ha ha haa,,inawezekana hii pia ilikuwa sababu ya Ngasa kukataa kwenda SUDAN,,,maana angepeleka urafi wake kwa mabinti wa kule,,,WA-sudan wangekula kichwa..!
 
Kwa Ngasa acha avune alichopanda. alishindwa kujitambua na hakujua mpira ni mchezo unaoendana na umri na hata washauri wake walikuwa uchwara. huyu alipata dili nyingi sana akazichezea kuanzia sudan, marekani, south africa na hata ya west ham!. mchezaji unatakiwa ukacheze mpira wa kulipwa sudan matokeo yake unavunja mkataba na simba unaenda yanga halafu yanga wanalipa pesa za faini halafu wananza kukukata kwenye mshahara eti tu una mapenzi na yanga. sasa yanga hiyo hiyo imemuacha kwenye mataa anahangaika mara mbeya city mara ndanda yenyewe inasajili wachezaji wengine kama vile haimuoni ngasa. lakini kwenye hili nitamlaumu sana mzee Halfani Ngassa kwa kushindwa kukisimia hiki kipaji ambacho kimepotelea hapa bongo na kushindwa kucheza ulaya labda tu atuambie kuwa mrisho aligoma kuchukua ushauri wake. Pia hili liwe fundisho kwa vijana wanaocheza sasa waache ushabiki kabisa na wachukulie mpira kama maisha yao.
 
Nakumbuka alifanyiwa majaribio na timu Moja ya marekani kwa bahati nzr ilikuwa ni kipindi cha MANCHESTER PRE SEASON TOUR,,, wakakutana na Manchester MAREKANI ,,, NGASA aliingia kipindi cha pili,,,, basi MAGAAZETI yote ya michezo ya bongo yalimpamba,,,, NGASA amtoa KAMASI Rio Ferdinand,,, NGASA afanya KUFURU,,, duh,, pole yake NGASA,,,
Kweli kabisa ule ukuta wa Ferdinand na Vidic ulikuwa wa Pazia.
 
ngasa ni mojawapo ya watanznaia wajinga waliowahi kutokea nchi hii very talented kwenye peak.MCHEZAJI mkali kabisa kavuna yake kavuna alichoapnda,case yake iingizwe kwenye mitaala shuleni ili watoto huko mbeleni wasirudie ujinga wake,yule alitakiwa watoto wa mu idolise kabala ya samatta nianchumonea huruma ni kwamba anaonekana kama mtu wa jokes nyingi huwa ananichekesha posts zake za instagram,ila alijifanya anaipenda utopolo ambayo haimependi, jinga kabisa angekuwa simba angepewa hata kazi kama mhosi kufundisha mademu
 
Wachezaji wetu hawajielewi wewe Angalia Chilunda bado umri mdogob napata nafasi ya kucheza ulaya unarudi Azam

farid musa anarudi yanga
kapombe ndio sikumuelewaga kabisa kutoka france kurudi azam

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom