Wachezaji wa mexico wafungiwa miezi sita kw akubambwa na machangudoa;si mchezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachezaji wa mexico wafungiwa miezi sita kw akubambwa na machangudoa;si mchezo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jul 2, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Jamani hawa machangu wanamvuto gani yaani ronaldo,cruch,rooney,,yaani masuper star woote sasa imerudi kwa wachezaji soma hili

  wachezaji wa timu ya taifa ya mexico 8 wamefungiwa miezi sita kwa kukutwa wkaifanya mapenzi na wanawake wanne kwenye hotel waliofikia siku m oja kabla ya mechi.. Wachezaji hao
  samahani kama kuna ndugu yako wakaribu hii ni jf bana
  1.jonathana santos
  2,israel/jmenez
  3.nestor/v
  4,david/cabrea
  5,marco fabian
  6,javier cortes
  7,jorge hernandez
  8,nestor caldren huyu ndie alihiitimisha mtungo huo
  habari zaidi zinasem a wachezaji hao walilalamika wameonewa lakini muda mfupi baada ya mechi walikalishwa chini na kuanza kuonyeshwa mambo yrtu ya cctv jinsi wanawake walivyoingia walivyoanza kuwavua chupi na mpaka mmoja kutaka kutishia kupiga kelele kama awatalipwa hela waliokubaliana na hii ni baada ya david cabrea no 4 hapo juu kusema hela waliosema awaana so wtimue hata hivyo ilikubaliwa waendelee na shuguli hiyo wakihofia siri hiyo kuvuja ,,habari zaidi zinasema hilo alikusaidia wanawake hao walichukua hela na kwenda kumtafuta kocha wa timu hiyo ambapo alipeyezewa picha za utupu za wachezaji hao ..habari zaidi nunua mwanaspoti ili
  wafanyakazi waweze lipwa mshahara

  kazi kwako sasa na wale wanaowachuchumalisha madada zetu kwenye ma benchi kule ofisini sijui wananaswaje jamaniyaani lunch time wake za watu wengi sana wamekuwa ndaniya tinted kuelekea kunani ama waaoona garama awakusita kuhitimisha shuguli hiyo hapo hapo ofisini

  mungu aturehemu
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,449
  Likes Received: 22,370
  Trophy Points: 280
  sasa walitaka wawe wanapiga nyeto?
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Chicharito hayupo kwenye list...sikubali
   
Loading...