Wachezaji wa Eritrea wapotelea tz. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachezaji wa Eritrea wapotelea tz.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mfatiliaji, Jul 12, 2011.

 1. Mfatiliaji

  Mfatiliaji Senior Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Baada ya michuano ya kagame cup kumalizika,imefahamika wachezaji kumi na tatu kutoka timu ya red sea ya Eritrea wamepotelea tz,wakikimbia kurudi kwao kutokana na umaskini pamoja na serikali ya kibabe na kijeshi ya nchini kwao.

  Duh kumbe bongo tunauzika ila basi tu?????
   
 2. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  We sema tu bongo wezi na wajinga kwa kutojua kutumia rasilimali zao.
   
 3. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Duh, hakupotea, wamegoma tu kuondoka na suala lao limekabidhiwa kwa united nation
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,162
  Trophy Points: 280
  mbombo ngafu.
  Wanaotamani kuzaliwa mbwa marekani sijui kama huwa wanakijua wanachokiongea na wanachokiamini.
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hao wachezaji Eritrea unadhani wapo hapo bongo! Wamepata njia ya kupitia kwenda zao South Africa wamejaa sana huko
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Wamejisalimisha uhamiaji wanataka wapewe ukimbizi.......sijui kama watafanikiwa maana wakirudishwa kwao wale jela moja kwa moja
   
 7. M

  Mwambopo Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tz kuna amani na ndo maana wanang'ang'ania
   
Loading...