Atomic orbital
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 369
- 473
Kumekuwa na wimbi kubwa la wachezaji wanaotoka league kuu Tanzania bara na kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi wakiishia kusugua benchi na kupoteza ramani.
1: Shaban Idd chilunda
2: Eliud ambokile
3: Kichuya
4: Adam salamba
Wengine unaweza kuongeza idadi. Tunakwama wapi Watanzania?
1: Shaban Idd chilunda
2: Eliud ambokile
3: Kichuya
4: Adam salamba
Wengine unaweza kuongeza idadi. Tunakwama wapi Watanzania?