Wachezaji wa Bongo kukimbilia soka la kulipwa nje na kuishia kusugua benchi

Atomic orbital

JF-Expert Member
Sep 27, 2020
369
473
Kumekuwa na wimbi kubwa la wachezaji wanaotoka league kuu Tanzania bara na kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi wakiishia kusugua benchi na kupoteza ramani.

1: Shaban Idd chilunda
2: Eliud ambokile
3: Kichuya
4: Adam salamba

Wengine unaweza kuongeza idadi. Tunakwama wapi Watanzania?
 
Kuna wakati umri unaenda inabidi ukubali kwenda kusugua bench nje ya nchi kwa ajoli ya masilahi mapana ya maisha tako ya baadae

Ila mpaka Leo cjawah kupata jibu non kilichomrudisha Boban kutoka darmark kurudi bongo

Au alikuwa ameimis ile mibangi yake?
 
Benchi linakupa changamoto ya kuongeza bidii kwenye mazoezi na kuimarisha nidhamu yako.

Benchi ni sehemu ya mchezo, hata hapa nyumbani kuna wachezaji.kadhaa wanaishia bench na bado hawajakata tamaa.
Nawatakia kila la kheri watanzania wote walio nje ya nchi hii kutafuta maisha
 
Mbona ujataj amid mao mkami uyu ni first eleven na kitamba cha ucampten anavaa siku moja moja..sio kwa mabaya na mazuti tajeni
 
Kuna wakati umri unaenda inabidi ukubali kwenda kusugua bench nje ya nchi kwa ajoli ya masilahi mapana ya maisha tako ya baadae

Ila mpaka Leo cjawah kupata jibu non kilichomrudisha Boban kutoka darmark kurudi bongo

Au alikuwa ameimis ile mibangi yake?
Huyu jamaa angekomaa wakati ule, nina uhakika kwa sasa angekuwa anajilia tu mafao yake huko ughaibuni huku akiwa na watoto wake machotara!

Ila ndiyo hivyo tena.
 
Kumekuwa na wimbi kubwa la wachezaji wanaotoka league kuu Tanzania bara na kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi wakiishia kusugua benchi na kupoteza ramani.

1: Shaban Idd chilunda
2: Eliud ambokile
3: Kichuya
4: Adam salamba

Wengine unaweza kuongeza idadi. Tunakwama wapi Watanzania?
bora benchi la mbele kuliko la bongo.....
 
Back
Top Bottom