Wachezaji sita wa kimataifa wa simba waitwa kwenye Timu zao za Taifa, wenzetu vipi?

Wewe ndio daktari wa timu zao za taifa? Morrison na Mugalu wamecheza jana mechi ya kirafiki halafu wewe unasema hawako fiti kivipi?
Morison hajacheza mpira muda mrefu pamoja na Mugalu ndio maana wanachezeshwa mechi hizo nilitegemea utamzungumzia yule mkata viuno wenu wa Angola lakini unakimbilia kuongelea Simba
 
Morison hajacheza mpira muda mrefu pamoja na Mugalu ndio maana wanachezeshwa mechi hizo nilitegemea utamzungumzia yule mkata viuno wenu wa Angola lakini unakimbilia kuongelea Simba
kwa hiyo Morrison angecheza muda mrefu unahisi angepata namba kwenye kikosi cha Ghana?
 
Muwe mnaangalia na nchi zenyewe walipotoka hao wachezaji.
acheni kujifariji manyani fc, mukoko awali alikua akiitwa team ya taifa bt kaja churan team ya taifa hawezi itwa, nio nae alikua akiitwa bt leo wapi inshort chura mnakapi na wala msisingizie mataifa wanakotoka
 
Nyinzonzima na kagere si wametoka nchi moja , shikalo , Onyango na Kahata si wametoka nchi moja kwa kifupi manyani uneducated wanazidi kumpa credit Eymael
 
Hizi break ni msaada sana kwetu Yanga kama hamjui nyie mbumbumbu,Acha Yanga tutengeneze timu wakati huo ligi imesimama.

Acha wakachukue majeruhi warudi nayo Tz,mbona fresh tu........
 
mkuu upo timamu kweli? yaani unataka simba watoe team nzima akati nyie hata mmoja hamna?
Point yangu ni kwamba sababu ya wachezaji wa Yanga kutoitwa kwenye timu zao za taifa ni sawasawa na wale wachezaji wasioitwa kwenye mataifa yao kutoka klabu ya Simba.
 
Inawezekana wachezaji wote wakimataifa waliosajiliwa na Yanga ni wachezaji wa sampuli ya wale wasioitwa kwenye mataifa yao ndani ya Simba.
ingelikua hivo nio na shikhalo wangeitwa pia bt hawaendani ndo maana wenu hawajaitwa
 
Back
Top Bottom