kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,233
- 12,508
Kabla hujakubali kusajiliwa Simba au Yanga jiulize mtakuwa wangapi kwenye nafasi hivo unayoitiwa huko?
Baadhi ya hasara za kuwa wengi kwenye nafasi moja ni uwanjani ni pamoja na 1. Huwezi kudai haki yako kwenye klab maana wana uwezo wa kukuweka pembeni kwa kuonekana huna adabu na msumbufu, 2. Uwezekano wa kuhudumiwa vizuri utapungua, 3. Utakaa bench kwa kuonekana huwezi kama fulani, 4. Kiwango kitashuka kwa kukosa mechi na mawazo ya kusugua bench, 5. Ukikaa bench thamani yako inashuka. 6. HutAitwa kwenye timu yako ya Taifa