wachezaji hawa hawafai kucheza Yanga kabsaaaaaa!Tusiwaone msimu ujao!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Mimi ni muudhuriaji mzuri wa mechi za timu ya za bongo .ktk timu inayotumia pesa nyingi katika usajir hapa bongo ni timu niipendayo ya Yanga.Lakini ndio timu inayoongoza kwa kununua magalasa/feki kila mwaka ,some times wengine hawafai *kuchezea hata majimaji ya songea.huo usajiri wa kwenye simu *ndio unaitafuna yanga kila mwaka.wengine hawapo kwenye kiwango cha kuchezea timu kama yanga ni makomedian tu uwanjani.wachezaji hao ni*Davis Mwape(huyu *hafai kabisaaa)*Jerry tegete (amekwisha) *Kigi makasi hafaikabisaa*Godfrey tighter( kijeba sana*)na wengineo wengine wengi.wengine wanamaumbile madogooooooo,hawafai linanpokuja swala la mehi za kimataifa.**
 
Ihate mwape beyond compare.idnt knw whre did they get hm.tegete masifa inamuua hana jipya.
 
mlipo chukua kagame cup kwa kubebwabebwa mlitetegemea na lig mtabebwa bebwa.
 
mlipo chukua kagame cup kwa kubebwabebwa mlitetegemea na lig mtabebwa bebwa?
 
Mkuu kuhusu kigi na jtegeti mm sikuungi mkono wachezaji wazuri na umri unaruhusu tatizo wanatumika sana kupita maelezo,tegeti katoka ktk mashindano ya mikoa akiwakilisha mwanza alikuwa majeruhi na stil hajapona vizuri mmemtumia kwenye kagame unafikili kiwango chake kitaimalika,hata kigi katoka kwenye majeruhi mara kaitwa under 20 na hapo hapo anaaitwa taifa stars,kagame mmemtumia sana unafikili itakuwaje,mwape hajui no comment about him
 
*MKUU mechi nyigi zinaongeza kiwango cha player ndo mana wadau wanadai ligi yetu inatimu chache na iongezewe timu na mashindano *pia.kuhusu majeruhi,mchezaji hawezi kucheza bila kuthibitishwa na docta wa timu.Alafu kigi ukimcheki fresh anaongoza kwa kutoa pasifeki na kupiga nje,labda ntakuelewa kidogo kwa tegete coz anabadilika badilika
 
Ihate mwape beyond compare.idnt knw whre did they get hm.tegete masifa inamuua hana jipya.
huyo mwape ndo hafaikabisaaaaaaa,lkini kila mechi anapangwa sijui kamlisha limbwata kocha, tena limbwat yake ni kama ile ya aseno wenger kwa uongozi wa asenal.huyo kocha haumwelezi kitu kwa tighter na mwape,tighter no 2 lakini utashangaa anachezeshwa no7 *au nyingine yoyote *mladi asikae benchi,nasikia anampendelea sababu wanaongea luga moja kihaya na kiganda.
 
Back
Top Bottom