wachezaji hawa hawafai kucheza Yanga kabsaaaaaa!Tusiwaone msimu ujao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wachezaji hawa hawafai kucheza Yanga kabsaaaaaa!Tusiwaone msimu ujao!

Discussion in 'Sports' started by yahoo, Sep 19, 2011.

 1. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  Mimi ni muudhuriaji mzuri wa mechi za timu ya za bongo .ktk timu inayotumia pesa nyingi katika usajir hapa bongo ni timu niipendayo ya Yanga.Lakini ndio timu inayoongoza kwa kununua magalasa/feki kila mwaka ,some times wengine hawafai *kuchezea hata majimaji ya songea.huo usajiri wa kwenye simu *ndio unaitafuna yanga kila mwaka.wengine hawapo kwenye kiwango cha kuchezea timu kama yanga ni makomedian tu uwanjani.wachezaji hao ni*Davis Mwape(huyu *hafai kabisaaa)*Jerry tegete (amekwisha) *Kigi makasi hafaikabisaa*Godfrey tighter( kijeba sana*)na wengineo wengine wengi.wengine wanamaumbile madogooooooo,hawafai linanpokuja swala la mehi za kimataifa.**
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Manazi wa Yanga mmeanza eeeh!?
   
 3. M

  Mutukwao JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ihate mwape beyond compare.idnt knw whre did they get hm.tegete masifa inamuua hana jipya.
   
 4. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mliokuwa mnawasifia,leo hawafai?
  Mwaka wenu huu!
   
 5. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Acha kulalama mliwasajiri wenyewe sasa nini tena
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Sep 19, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Ndio utamaduni wenu...na mwaka huu lazima mshuke daraja.
   
 7. Mbaliche

  Mbaliche JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  mlipo chukua kagame cup kwa kubebwabebwa mlitetegemea na lig mtabebwa bebwa.
   
 8. Mbaliche

  Mbaliche JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  mlipo chukua kagame cup kwa kubebwabebwa mlitetegemea na lig mtabebwa bebwa?
   
 9. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hv karibuni utasikia,timbe hawez kufundisha
   
 10. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Mkuu kuhusu kigi na jtegeti mm sikuungi mkono wachezaji wazuri na umri unaruhusu tatizo wanatumika sana kupita maelezo,tegeti katoka ktk mashindano ya mikoa akiwakilisha mwanza alikuwa majeruhi na stil hajapona vizuri mmemtumia kwenye kagame unafikili kiwango chake kitaimalika,hata kigi katoka kwenye majeruhi mara kaitwa under 20 na hapo hapo anaaitwa taifa stars,kagame mmemtumia sana unafikili itakuwaje,mwape hajui no comment about him
   
 11. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  *MKUU mechi nyigi zinaongeza kiwango cha player ndo mana wadau wanadai ligi yetu inatimu chache na iongezewe timu na mashindano *pia.kuhusu majeruhi,mchezaji hawezi kucheza bila kuthibitishwa na docta wa timu.Alafu kigi ukimcheki fresh anaongoza kwa kutoa pasifeki na kupiga nje,labda ntakuelewa kidogo kwa tegete coz anabadilika badilika
   
 12. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nani kakudanganya kwamba hili kombe la ligi hatuchukui?
   
 13. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  huyo mwape ndo hafaikabisaaaaaaa,lkini kila mechi anapangwa sijui kamlisha limbwata kocha, tena limbwat yake ni kama ile ya aseno wenger kwa uongozi wa asenal.huyo kocha haumwelezi kitu kwa tighter na mwape,tighter no 2 lakini utashangaa anachezeshwa no7 *au nyingine yoyote *mladi asikae benchi,nasikia anampendelea sababu wanaongea luga moja kihaya na kiganda.
   
 14. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  ww timbe anafaa but line up zake na substututions ndo kichefchef
   
Loading...