Kante hana kasi bali ana pumzi tuSio mbaya leo Tukiwajua wachezaji wenye kasi zaidi ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara.
Mfano pale Epl kuna Antonia Valencia,E.Hazard na huyu Ngolo Kante Anaweza kupiga kona na kuja kufunga mwenyewe.
Je kwetu hapa ni Wachezaji gani wenye Kasi zaidi??
kaka hata kama wewe sio mtanzania kulikuwa hakuna haja ya kutukana watanzia kihivyo,Bongo hakuna mpira bali kuna vikatuni tu na matokeo
U get me wrong, sikumaanisha watu ndo vikatuni bali wakifanyacho ndio ukatunikaka hata kama wewe sio mtanzania kulikuwa hakuna haja ya kutukana watanzia kihivyo,
mbona hapa hakuna vita ugomvi wa nini sasa