Wachezaji bora Copa America tangu 1983 (Messi Bado sana)

Miki123

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
288
502
Ukisikiliza sana kelele za mashabiki wa messi unaweza changanyikiwa huku takwimu za wachezaji bora copa america zinaonyesha tofauti kabisa.

Kwenye list ya wachezaji bora copa america tangu 1983 mpaka hivi sasa Messi anafyata mkia kwa fundi mmoja toka uruguay ambaye zidane mwenyewe anamjua vizuri.

Kiasi cha zidane kuamua kumpa jina la huyo gwiji mtoto wake Enzo

DaRKL81l.jpg

Kabla ujachukua muda wako kumfahamu huyo fundi, hizi ni takwimu fupi.

Nchi zilizotoa wachezaji bora wa michuano mara nyingi(1983-2019)
Brazil - Wachezaji 5. ambao ni wafuatao
1. Ronaldo de lima
2. Rivaldo
3. Adriano
4. Robinho
5. Dani Alves

Argentina - Wachezaji 3. ambao ni wafuatao
1. Rodriguez
2. Goycochea
3. Messi

Uruguay - Wachezaji 3. ambao ni wafuatao
1. Francescoli
2. Sosa
3. Suarez

Corombia - mchezaji 1
Valderrama

Honduran - mchezaji 1
Guevara

Chile - mchezaji 1
Sanchez

Mchezaji aliyechukua mara nyingi
Enzo Francescoli

Huyu ndie mchezaji aliyemu-inspire fundi ambaye hajawi tokea dunia hii zidane.

Messi "the so called GOAT" kachukua mara moja tangu ameanza kushiriki copa america mwaka 2007.

Nawaomba muache kumwita mchezaji anayetamba na timu moja kwamba ndie bora kuwahai kutokea mnadharirisha mpira.
 
Ukisikiliza sana kelele za mashabiki wa messi unaweza changanyikiwa huku takwimu za wachezaji bora copa america zinaonyesha tofauti kabisa.

Kwenye list ya wachezaji bora copa america tangu 1983 mpaka hivi sasa Messi anafyata mkia kwa fundi mmoja toka uruguay ambaye zidane mwenyewe anamjua vizuri.

Kiasi cha zidane kuamua kumpa jina la huyo gwiji mtoto wake Enzo

View attachment 1153400

Kabla ujachukua muda wako kumfahamu huyo fundi, hizi ni takwimu fupi.

Nchi zilizotoa wachezaji bora wa michuano mara nyingi(1983-2019)
Brazil - Wachezaji 5. ambao ni wafuatao
1. Ronaldo de lima
2. Rivaldo
3. Adriano
4. Robinho
5. Dani Alves

Argentina - Wachezaji 3. ambao ni wafuatao
1. Rodriguez
2. Goycochea
3. Messi

Uruguay - Wachezaji 3. ambao ni wafuatao
1. Francescoli
2. Sosa
3. Suarez

Corombia - mchezaji 1
Valderrama

Honduran - mchezaji 1
Guevara

Mchezaji aliyechukua mara nyingi
Enzo Francescoli

Huyu ndie mchezaji aliyemu-inspire fundi ambaye hajawi tokea dunia hii zidane.

Messi "the so called GOAT" kachukua mara moja tangu ameanza kushiriki copa america mwaka 2007.

Nawaomba muache kumwita mchezaji anayetamba na timu moja kwamba ndie bora kuwahai kutokea mnadharirisha mpira.

Watabisha tu
 
Mtoa mada hii hoja yako ni dhaifu sana. Mfano Diego Maradona hapo kwenye Orodha yako hajawahi kabisa kutwaa. Zico hajawahi kutwaa. Ronaldinho hajawahi kutwaa so Hawa wote kiuchezaji hawamfikii huyo Enzo?

Ronaldo de Lima katwaa Mara moja na yeye kazidiwa na Enzo?

Simply, kajifunze tena kujenga hoja.
 
Huyo Enzo ametamba na timu ngapi ambazo ujaziorodhesha. Huyo Enzo Ukimuuliza atajwambia Messi ndiye mchezaji bora kwake. Unaweza kuta Enzo alimlupia Zidane nauli ya train ndo maana Zidane anamtukuza kwa wema wake Ila siyo kwa kiwango champira.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom