Wachezaji Bongo waliovuma kwa muda mfupi kisha wakapotea kwenye soka

inasemekana wakati anahojiwa na uhamiaji.
Ameulizwa umezaliwa wapi
Akajibu Kibaha
Akaulizwa Kibaha ipo mkoa gani
Akajibu Mkoa WA Kigoma
alikua mwalimu wa kifaransa na hesabu st.marys ya tabata ila kwenye 2003 huko
 
Pale Mtibwa Sugar, kuna nahodha kiongozi Shaban Nditi. Amecheza soka la kiwango cha juu kwa muda mrefu bila kuchuja. Amedumu sana kwenye soka la ushindani hapa Bongo.

Ukifika kwenye kikosi cha Kagera Sugar wanankurukumbi, utakutana na George Kavila Master. Ni karibia miaka 20 sasa anacheza ligi kuu ya Tanzania. Ni moja kati ya wachezaji wakongwe na wenye nidhamu ya hali ya juu ndani na nje ya uwanja.

Lakini habari ni tofauti kwa baadhi ya wachezaji wengine. Kuna wachezaji wa kibongo waliovuma kwa muda mfupi kisha wakapotea kabisa katika ramani ya soka.

Leo, tujikumbushe list ya wachezaji hao.

Mimi naanza na hawa wafuatao...
Rashid Gumbo

Said Bahanuzi

Jerry Tegete

Endelea na wewe...



Sent using Jamii Forums mobile app
Mwingine chama mpigadebe stand ya Lusaka
 
Back
Top Bottom