Dah hii game tungepenya tungezima kelele za Mbumbumbu fc "Sisi ndio timu pekee ya Tz kuwatoa mabingwa watetezi". Iliniuma sana.Said bahanuzi ndiyo yule aliyekosa penalti Cairo wamisri wa al ahly wakakoswa koswa na Yanga kwenye penalti wakati golikipa Dida aliokoa penalti kadhaa
Jery Tegete mbona bado yupo anacheza ligi kuuPale Mtibwa Sugar, kuna nahodha kiongozi Shaban Nditi. Amecheza soka la kiwango cha juu kwa muda mrefu bila kuchuja. Amedumu sana kwenye soka la ushindani hapa Bongo.
Ukifika kwenye kikosi cha Kagera Sugar wanankurukumbi, utakutana na George Kavila Master. Ni karibia miaka 20 sasa anacheza ligi kuu ya Tanzania. Ni moja kati ya wachezaji wakongwe na wenye nidhamu ya hali ya juu ndani na nje ya uwanja.
Lakini habari ni tofauti kwa baadhi ya wachezaji wengine. Kuna wachezaji wa kibongo waliovuma kwa muda mfupi kisha wakapotea kabisa katika ramani ya soka.
Leo, tujikumbushe list ya wachezaji hao.
Mimi naanza na hawa wafuatao...
Rashid Gumbo
Said Bahanuzi
Jerry Tegete
Endelea na wewe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtake radhi huyo mkuu!!shabani kisiga
umeulewa uziMtake radhi huyo mkuu!!
We unamjua kisiga ama unamsikia Tu!umeulewa uzi
Huyo ni Harry Morris, kaka yake alikua anaitwa Oswald Morris. Oswald alichezea tz prisons kwa mafanikio mpaka akapewa cheo cha captain na jeshi la magereza, japo Simba na Yanga walimtaka sana lakini aliwagomea. Harry yeye alipohama basi na nyota yake ikafaKuna Moris waliwika Tz prison, Yanga akafail
inasemekana wakati anahojiwa na uhamiaji.Damian Mrisho Kimti
Najua Watoto nimewaacha Kwenye flyover ya Tazara
Asante mkuu kwa kumbukumbu, ilinipotea kidogoHuyo ni Harry Morris, kaka yake alikua anaitwa Oswald Morris. Oswald alichezea tz prisons kwa mafanikio mpaka akapewa cheo cha captain na jeshi la magereza, japo Simba na Yanga walimtaka sana lakini aliwagomea. Harry yeye alipohama basi na nyota yake ikafa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Mkuu!!Mtake radhi huyo mkuu!!