Wachezaji ambao wamepewa mkono wa kwaheri Yanga SC

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Kitaifa
-Yassin mustapha
-Deus kaseke
-Paulo Godfrey
-Balama mapinduzi
-Ramadhani kabwili
-Abdallah Shaibu

KIMATAIFA.

-Chico ushindi wa kubanza
-Saido Ntibazonkiza

Waliosalia Yanga sc 2022-23

-Djugui Diarra✓

-Djuma shabani✓

-Yannick litombo bangala✓

-Khalid Aucho✓

-Fiston kalala Mayele✓

-Yacouba songne(Loans) kwa sasa wapo kwenye mazungumzo ya mkataba mpya.
-Jesus Ducäpel Moloko.✓

-Heriter Ebenezer Makambo.✓

WAPYA KIMATAIFA

-Benard Morrison.
-Lazaouros kambole.
-Joyce Lomalisa mutambala.
-Gaël Bigirimana.
-Stephine Azizi ki.

️ KITAIFA WATAKAOKWENDA KWA MKOPO.

-Omary chibada u21
-Geofrey magaijwa u21

Kuna wachezaji wanne Kutoka timu ya vijana ya u21 watapandishwa na watatu watatolewa kwa mkopo kwenda kwenye timu za ligi kuu Nbc primier league.

 
Eti wamesajili mchezaji alietoka ligi kuu ingilandi bwana!!!!
 
BIGIRIMANA G Jamaa ana vitu sana kifupi atakuwa kama kiatu kipya anavaliwa kwenye siku kuu TU na hapa tukikutana na kolo Azam nje ndani labda na kagera hatuwezi kumchezesha mkwakwani ye ni mechi za dar na atakuwa mfungaji bora
 
Kwa wakimataifa, ningetoa wafuatao:
1. Moloko hamna kitu.
2. Chiko ushindi aliyemleta sijui aliwaza nini.
3. Makambo hamna kitu bora hata mimi. Kuliko kubaki na Makambo, bora abaki Yakuba.
4. Saido sawa kuachwa jamaa hana kitu.
5. Morrison sijui kasajiliwa kwa ajili ya nini au kuwaumiza tu simba ila hamna kitu.
 
BIGIRIMANA G Jamaa ana vitu sana kifupi atakuwa kama kiatu kipya anavaliwa kwenye siku kuu TU na hapa tukikutana na kolo Azam nje ndani labda na kagera hatuwezi kumchezesha mkwakwani ye ni mechi za dar na atakuwa mfungaji bora
Ndo maana huwa tunasema mnasajili kwa ajili ya Simba na kimataifa upeo wenu mfupi kama wa kuku
 
Back
Top Bottom