Wachezaji 44 nchini Cameroon kuchunguzwa kwa kughushi umri au utambulisho

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,018
1,606
Shirikisho la Soka nchini humo Fecafoot limesema wachezaji 44 kutoka katika vilabu 8 nchini humo wanachunguzwa kwa tuhuma za kughushi umri wao au utambulisho wao.

Iwapo watapatikana na hatia katika uchunguzi wa ana kwa ana unaofanyika Julai 4-8 ambapo wametakiwa kuambatana na marais wa vilabu vyao, watakabiliwa na adhabu ya kufungiwa kwa miezi sita kushiriki mechi, pamoja na adhabu nyingine.

Aidha, mnamo mwaka 2016, wachezaji 14 wa Cameroon walisimamishwa siku chache kabla ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya Chini ya miaka 17 kwa udanganyifu wa umri baada ya umri wao wa kweli kutambulika kwa msaada wa uchunguzi wa MRI.
................................

Forty-four footballers are being investigated in Cameroon on suspicion of faking their ages or their identities.
Most of the players hail from amateur clubs and a few are from local leagues, says Cameroon's football-governing body Fecafoot.

If found guilty they face a six-month suspension from matches, a Fecafoot offiicial told the BBC.
A number of club presidents who are accused of being complicit are also being called to these Fecafoot hearings, which are all being held behind closed doors.

Accusations of age fraud are common in Cameroon. In 2016, 14 Cameroonian players were suspended by the country for a few days before the U17 Africa Cup of Nations.

Their true ages were revealed with the help of MRI scans, that provide detailed images of the inside of the body.

SOURCE: BBC
 
Hawa jamaa wakinusurika hapo wakatambike, wanajaza vijeba kwenye mashindano.
 
Back
Top Bottom