Wachezaji 10 walioitendea haki jezi namba 9 dimbani

Hiyo taarifa sijui kaipatia wapi mleta mada. Ni kumkosea heshima Batigoal kumweka nafasi ya 6 alafu de lima eti wa 1.
Kweli aisee kwasabab de lema alivuma mda mfupi akapotea, ila huyu mwamba amedumu kwenye kiwango kwa zaidi ya miaka 10. Jamaa alikua anapiga mashuti ya mbali sana.
 
Jaribu kuwafuatilia pia awa mkuu

Alan shearer Johan Cruiff na Diego Millito utakuja na mrejesho.
 
Kweli aisee kwasabab de lema alivuma mda mfupi akapotea, ila huyu mwamba amedumu kwenye kiwango kwa zaidi ya miaka 10. Jamaa alikua anapiga mashuti ya mbali sana.

Huyo Delima ni kama Aguero na Suarez, japo Aguero na Suarez wamedumu mda mrefu kwenye ubora wao..angekuwepo kipindi hiki angeonekana wa kawaida sana.
 
Back
Top Bottom