Wacheza filamu Chris Pratt na Anna Faris kutengana baada ya miaka 8 ya ndoa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Wacheza filamu wa Marekani Chris Pratt na Anna Faris wametangaza kuwa watatengana baada ya miaka minane ya ndoa, kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyosambazwa kwenye mitandao.

Wawili hao walikutana mwaka 2007 wakirekodi filamu ya mapenzi ya Take me Home Tonight, walisema kuwa jitihada za kuokoa ndoa yao zimefeli.
Tumejaribu sana kwa muda mrefu, tumeghadhabishwa sana, Pratt aliandika kwenye mtandaa wa Facebook siku ya Jumapili.
Pratt, 38, na Faris, 40, walifunga ndoa mwaka 2008 na wana mtoto wa kiume Jack.

"Mtoto wetu ana wazazi wawili wanaompenda sana kwa sababu tunataka kulifanya suala hilo kuwa la siri. taarifa hiyo ilisema .
Taarifa hiyo pia ilisema kuwa wote walifurahia maisha ya kuishi pamoja na na watandelea kushemiana.

SA.jpg


BBC
 
Habari yao imenifanya niwakumbuke Brad Pitt v/s Anjelina Jolie,
Nimeangalia tena Movie yao ya Mr. & Mrs Smith jinsi mme na mke walivyokua wakiwindana, inaonyesha hata katika real life ilikua vile
 
Halafu bongo mbadanganyana ndoa za kikristo hakuna kuachana,
pumbavuuuuuuuu,
dini walete wao,nyie ndio muijue sana.
 
Back
Top Bottom