Wachawi na waganga hawawezi Walokole au wacha Mungu wa kweli

Pastor Silla

Senior Member
Sep 22, 2020
161
163
UCHAWI NA UGANGA SI KITU MBELE ZA MUNGU NA WATOTO WAKE WALIOWAAMINI .(YOH 1:12)

Neno la Mungu linasema hakuna uchawi wala uganga mbele za Israeli.Maana yake wale wote wenye mahusiano mazuri na Kristo wanakuwa wanalindwa na nguvu za Mungu ambapo wachawi wala waganga au mapepo hawawezi kuwaloga.

Soma Hesabu 23:23;
23 Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu!
Hesabu-Numbers 23:23

Natoa wito kwa wale waliowaoga kulogwa njia ni moja tu kumwamini Yesu kuwa Bwana na Mokozi itapelekea ulinzi wa Mungu kuwa juu yako.

Kwa namna nyingine watu wengi kukumbwa na laana na kuteswa na wachawi ni kujitakia wenye ,Injili ya Yohana 3:16 inaposema utaupata uzima wa milele ni uzima au baraka za hapa duniani na badae mbinguni.

Naomba kuuliza uzoefu wao wachawi na waganga je wanamuweza mtu aliyeokoka kweli ?maana mara nyingi upata taarifa kwamba wachawi kuwaita waliokoka ni wachawi kushinda wao hii ni kutokana na nguvu kubwa iliyojuu ya waliomiamini Yesu.

Nakaribisha maoni na ushauri juu hili.

Kumbuka :Huu ni wakati wa wokovu, uokoke Sasa.
 
Mtu yeyote aweza kurogwa au kupata majaribu mengine lakini haimaanishi muwa hana Imani!
Majaribu ya kila siku ndiyo kipimo cha Imani ya Mkiristo yeyote
 
Elshadai Elshadai
Heloi heloi ...
Tazama Yesu asema njooni nyote msumbukakao na kuteseka na mizigo .....Mtumishi naomba endeleza huu mstari/aya tafadhali
 
Kweli kabisa mfano mm Leo nimepata chakula Cha mchana badala ya Mlo wa mchana
Hili kwangu Ni jaribu zito Sana..! Sasa nisipolisha hekalu la Bwana nikawa na afya nzuri nitamtumikiaje Mungu
Ewe Yesu nivushe..!
 
UCHAWI NA UGANGA SI KITU MBELE ZA MUNGU NA WATOTO WAKE WALIOWAAMINI .(YOH 1:12)

Neno la Mungu linasema hakuna uchawi wala uganga mbele za Israeli.Maana yake wale wote wenye mahusiano mazuri na Kristo wanakuwa wanalindwa na nguvu za Mungu ambapo wachawi wala waganga au mapepo hawawezi kuwaloga.

Soma Hesabu 23:23;
23 Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu!
Hesabu-Numbers 23:23

Natoa wito kwa wale waliowaoga kulogwa njia ni moja tu kumwamini Yesu kuwa Bwana na Mokozi itapelekea ulinzi wa Mungu kuwa juu yako.

Kwa namna nyingine watu wengi kukumbwa na laana na kuteswa na wachawi ni kujitakia wenye ,Injili ya Yohana 3:16 inaposema utaupata uzima wa milele ni uzima au baraka za hapa duniani na badae mbinguni.

Naomba kuuliza uzoefu wao wachawi na waganga je wanamuweza mtu aliyeokoka kweli ?maana mara nyingi upata taarifa kwamba wachawi kuwaita waliokoka ni wachawi kushinda wao hii ni kutokana na nguvu kubwa iliyojuu ya waliomiamini Yesu.

Nakaribisha maoni na ushauri juu hili.

Kumbuka :Huu ni wakati wa wokovu, uokoke Sasa.
Hakuna uchawi wala Mungu (muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye mapenzi yote).

Vyote viwili hivi ni hekaya za watu tu.

Kama unabisha, define Mungu wako halafu thibitisha Mungu huyo yupo.

Define uchawi ni nini, halafu thibitisha uchawi upo.
 
Mtu yeyote aweza kurogwa au kupata majaribu mengine lakini haimaanishi muwa hana Imani!
Majaribu ya kila siku ndiyo kipimo cha Imani ya Mkiristo yeyote
Nadhani kunatofauti ya kurogwa na majaribu;majaribu yanaweza kumpata aliyeokoka but kurogwa kwa mtu mwenye uhusiano na Mungu hili aliwezekana .Soma Hesabu 23:23
 
Elshadai Elshadai
Heloi heloi ...
Tazama Yesu asema njooni nyote msumbukakao na kuteseka na mizigo .....Mtumishi naomba endeleza huu mstari/aya tafadhali
Mathayo 11:28

Naparaphresal;Njoni kwangu ninyi nyote msjmbukao na kuelemewa na mizigo....nami nitawapunzisha maana mzigo wake ni mwepesi na nira yake ni laini nanyi mtapata raha nafsini mwenu.
 
Back
Top Bottom